Customizing ni kubwa,kusend sms ndefu bila kua converted to mms,ila ninayoipenda mim kweny textra ni ile feature ya sending delay..hii feature makin sana..niliitafuta baada ya kutoa boko siku moja..
Hapo chini ni screenshot jinsi ya sending delay ilivyo,huo mstar mpana unatembea kutoka kwanzo hadi mwisho kisha sms inajituma..huo mstar unatembea kutokana ma delay second ulizo set ww mwenyew,so ukitoa boko ukatuma sms kwa bahat mbaya basi unaweza ku cansel kwa kutumia hiko ki X huko mwishon...
Lakin pia kama hutak ichelewe basi we unaclick tu hyo icon ya send na itatumwa hapo hapo bila kungoja zile delay second hapa incase unajua hujakosea kutuma hiyo sms..
Yalinikuta ndio mana nikaisaka hii feature na sasa nimeipata kweny textra pro
Attachment inagoma inaniambia need valid post ID sjui..ikikubali nitaweka hapa
Sent using
Jamii Forums mobile app