App gani nzuri kwa sms kwako?

App gani nzuri kwa sms kwako?

Mi nishawai kutumia app nyingi ila hii nayotumia sasa nimeielewa aisee siiachi hata kwa dawa link hii waweza khidownload ambazo nishawai tumia ni mood messenger, secure sms nk ila hii app nayotunia sasa ni kitimbi inaitwa messenger link hii hapa, ina sehem ya kuficha sms za watu ambao hutak zionekane hata kama amekutumia inakuja na ili kuisoma lazima ikudai password, thems, nk

Recommend a greaaaaat app to you, it's easier and safer. Try to let it replace the old sms messages: Privacy Messenger - Private SMS messages, Call app - Apps on Google Play

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1334433

Sent using Jamii Forums mobile app
Iko vizuri sana sana naomb msaada kuhusu baadhi ya vitu please, kutenga meseji za pamoja na zile za siri pia nimebadili color kua red now nashindwa natamani niweke ingine
 
Nilikuwa natumia mood lkn inachelewa kufunguka inaweza kaa sek 5 hadi 10.
Nipo kwenye Textra ipo Fasta sana ila haina features nzuri kama mood.
Ipi nzuri kwako?

Mood niliipenda kwa haya.
-ina simple reply
-ina option ya call
- Ina onesha jina la namba
-ina option ya search
Mood Messenger kwangu ni the best. Nililipa premium kwa mwaka mmoja, nimeifaidi sana
 
Subr nijaribu
Mi nishawai kutumia app nyingi ila hii nayotumia sasa nimeielewa aisee siiachi hata kwa dawa link hii waweza khidownload ambazo nishawai tumia ni mood messenger, secure sms nk ila hii app nayotunia sasa ni kitimbi inaitwa messenger link hii hapa, ina sehem ya kuficha sms za watu ambao hutak zionekane hata kama amekutumia inakuja na ili kuisoma lazima ikudai password, thems, nk

Recommend a greaaaaat app to you, it's easier and safer. Try to let it replace the old sms messages: Privacy Messenger - Private SMS messages, Call app - Apps on Google Play

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1334433

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Customizing ni kubwa,kusend sms ndefu bila kua converted to mms,ila ninayoipenda mim kweny textra ni ile feature ya sending delay..hii feature makin sana..niliitafuta baada ya kutoa boko siku moja..

Hapo chini ni screenshot jinsi ya sending delay ilivyo,huo mstar mpana unatembea kutoka kwanzo hadi mwisho kisha sms inajituma..huo mstar unatembea kutokana ma delay second ulizo set ww mwenyew,so ukitoa boko ukatuma sms kwa bahat mbaya basi unaweza ku cansel kwa kutumia hiko ki X huko mwishon...

Lakin pia kama hutak ichelewe basi we unaclick tu hyo icon ya send na itatumwa hapo hapo bila kungoja zile delay second hapa incase unajua hujakosea kutuma hiyo sms..

Yalinikuta ndio mana nikaisaka hii feature na sasa nimeipata kweny textra pro

Attachment inagoma inaniambia need valid post ID sjui..ikikubali nitaweka hapa

features kama zipi ?

Mkuu naomba Textra Pro.
 
Mkuu me naomba feature ambayo nitaweza kuficha sms lakini isiwe default appk ambay nitaweza kutumia apk na kule kwa sms za kawaida

Back
Top Bottom