Apk ya Dream League soccer 2017

Ila kama unajijua una hasira kali huku online hapakufai usije vunja device yako
 
Mpaka wanatumia trick ya kuweka jezi zinazofanana na mm ili wanipige lakini nimeshindikana mpaka sasa mm ni CHAMPION wa hili dude humu na duniani maana napiga wazungu wachina wakorea waswahili mpaka wengine wananitumia email za pongezi hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
 
Mimi nimedowload APK ya dream league soccer 2018 kwenye simu Samsung galaxy grand neo lakini inakataa kuplay nilifanyeje guy's msaada wenu tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…