Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

ila nilivyoanza kulicheza naona kama halina maajabu ndio maana nalikubali la 2016 tu ndio kiboko ila kama kuna mtu ana maujanja ya kuhack kwakweli aweke hapa hints
 
Naandaa uzi kwaajili ya hii kitu. Naona watu wanapata tabu kweli kupata coins.
 
Ukipanda ligi unacheza na team zipi??? Mishahara ya wachezaji je??Au Kocha anabaki papaa mourinho???
 
Natafuta sana game la First Touch Soccer silipati maana ndo nalipenda kuliko dream league, mnisaidie wakuuu nipate kuenjoy hapa sina game hata moja.
 
Haya tucheze lige yetu sasa.
IMG-20190421-WA0009.jpg
IMG-20190421-WA0008.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom