Bengazuu
JF-Expert Member
- Mar 28, 2013
- 1,029
- 1,238
Bado mkuuNeed for speed ulilipata????
Bado mkuuNeed for speed ulilipata????
Sasa unangoja nn c ushapewa linkBado mkuu
Ndio link ninayo na nishaanza kudownload nowSasa unangoja nn c ushapewa link



Video haifunguki5 5 kala kipigo dk ya mwisho![]()
Gem gan hii mkuu
Ivi unaweza kuchagua mtu wa kucheza nae online?!! Hii ingefaa sana.Aliyeko online aje nimpe kipigo
Oya namna ya ku-install
First touch soccer 2018 mkuuGem gan hii mkuu
Ppsspp,zarchiever pamoja na gemu.....ukiwanavyo hivyo vitatu umemalizaOya namna ya ku-install
Nashkuru mkuu ila nimeingia kwenye androidsam.com but nashindwa kulidownload game naomba unisaidie procedure ili nifanikiwe kulidownload mkuuPpsspp,zarchiever pamoja na gemu.....ukiwanavyo hivyo vitatu umemaliza
Kwenye andoidsam gemu si umeliona????Nashkuru mkuu ila nimeingia kwenye androidsam.com but nashindwa kulidownload game naomba unisaidie procedure ili nifanikiwe kulidownload mkuu
Ndio nimeliona sema nimetouch pale naona yanakuja tena maneno mengi mengi nashindwa niingie wapKwenye andoidsam gemu si umeliona????
Ingia androidsam.com kisha li'click' gemuNdio nimeliona sema nimetouch pale naona yanakuja tena maneno mengi mengi nashindwa niingie wap