Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Unataka waende fasta???Sometime wanaenda slow hususan ukushaaongeza sauti
Unataka waende fasta???Sometime wanaenda slow hususan ukushaaongeza sauti
Adroid vision ni 6.0 ram gb 1Nitajie android version ya simu yako pamoja na ram
Hata UCL inagoma?????Daah yan kinachoniuma zaidi kila nikitaka kucheza uefa inagoma
Piga screenshoot tuone ilivyo mkuu walau unaweza pata msaadaNdio mkuu sijui nifanyejeeee
Kabla mechi haijaisha?? Unatumia simu ganijaman me kila nkicheza DSL unakuta katikati inazma mpk uanze tena tatzo nn
Nigee link ya hii apaNi full kunyanyua kwapa tu![]()
ndio kabla ya mechi kuisha, natumia tecno Y3+Kabla mechi haijaisha?? Unatumia simu gani
Ndo maana linasumbua......hata mimi kipindi natumia y3 ilikuwa hivyohivyo.DLS ambayo utacheza vzr hapo ni 16. 17 utacheza ila itazingua kidogo hasa ukihack na 18 usitegemee kabisa kuicheza hapo hata kwa dawa.....ndio kabla ya mechi kuisha, natumia tecno Y3+
Mkuu ulifikia wapi????Inaandika unfortunately stopped mkuu yan game tam sema shida ndo hiiiiio
Samahani mkuu...,ni faili zipi unaziextract????Una view file mkuu na zarchiver baada ya kuview kitakuja option tatu ya data obb apk na baada ya hapo switch data connection iwe off then copy files ulizoextract kwa folder ya android na hakikisha data files unaweka kwenye file la data na pia obb sehemu ya obb na ukimaliza install apk then launch game mkuu![]()
Kwani ushadownload mkuu nkupe maelekezoSamahani mkuu...,ni faili zipi unaziextract????
Yaani kila ki2 tayar bosi....,nakungoja tu ww..Kwani ushadownload mkuu nkupe maelekezo
Poa poa mkuu sasa inabidi uswitch mobile data kwa simu yako ili umalize kuinstall game na baada ya hapo ndo ulaunch game"Yaani kila ki2 tayar bosi....,nakungoja tu ww..