Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

Ingia androidsam.com kisha li'click' gemuView attachment 670198
Shuka chini hadi utakuta link imeandikwa PES 2018View attachment 670201
Click hiyo link.....ukiclick italeta page ya hivi ka hapo chini.....tulia kwa sekunde 5 mpaka neno SKIP AD litokeeView attachment 670204
Click skip ad....utaenda moja kwa moja kwenye page hivi chini yake kuna neno PAKUA click hilo nenoView attachment 670208
Ukishaklick litaanza kudownload na mchezo ndo utaishia hapo.
Sawa mkulu
 
Pamoja sana mkuu ngoja nikajaribu master wangu
 
Sasa hapo kazi Kwisha.....chukua hilo gemu,licopy kisha lipaste kwenye faili lolote ulipendalo.fungua ppsspp ikifunguka nenda kwenye faili ulokopi gemu lako.fungua utalikuta,click kwenye gemu kisha gemu litafunguka...enjoy gemu lako....
Nipe mrejesho Tafadhali...
 
Mkuu hilo gemu ukilidownload,unainstall moja kwa moja unacheza ama kuna mambo mengine unafanya
Una view file mkuu na zarchiver baada ya kuview kitakuja option tatu ya data obb apk na baada ya hapo switch data connection iwe off then copy files ulizoextract kwa folder ya android na hakikisha data files unaweka kwenye file la data na pia obb sehemu ya obb na ukimaliza install apk then launch game mkuu
 
Sawa mkuu ngoj nichangamkie fursa
 
Sasa hapo kazi Kwisha.....chukua hilo gemu,licopy kisha lipaste kwenye faili lolote ulipendalo.fungua ppsspp ikifunguka nenda kwenye faili ulokopi gemu lako.fungua utalikuta,click kwenye gemu kisha gemu litafunguka...enjoy gemu lako....
Nipe mrejesho Tafadhali...
Mkuu imekubali sema kuna sehem imefika imestack ngoja nifunge simu alafu niifungue tena
 
Kila nikitaka kuchagua timu nicheze inaniambia runing slow try to skip sound sasa hapo ndo nashindwa kuelew
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom