Hiyo dream league babu
Hakuna ligi kila timu ina daraja lake unaanza
Academy division
Division 3
Division 2
Division 1
Junior elite division
Elite division
Kila daraja lina timu zake
Timu konkodi za soka zipo elite division asenali,Madrid,man u,barca,juve nk.
Ukishinda hadi level ya elite division ukamaliza top unaenda international level unakutana na national teams ka world cup hivi
Ukishinda unakutana na timu za continental allstars kama timu ya Africa,eastern Europe,western Europe,north America, south America etc
Ukishinda hapo unaenda kukutana na team yenyewe inaitwa First Touch Legendary Team hujui mchezaji hata mmoja ila ni hatari yana nguvu 96,95,97 etc li kipa lake ligumu kufungika
Ukishinda hapo timu yako ndo best team bac unakutana na timu yako mwenyewe
Yaani wachezaji wako walewale kila kitu kilekile labda wanachenji formation; hapa ndo utaelewa
Ukimaliza hapo bac unaanza elite division na unaendelea kama mwanzo
Ila huwezi kufika huko ka hauna pesa ; mm nilihack nikapata pesa za kutosha nikanunua uwanja mkubwa bila uwanja mzur hupandi daraja
Nikanunua best players kama messi,ronaldo nk
It is very fantastic game
Ila bila best players unajisumbua 2