Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

nilichokipenda kwenye dls2018 wanakupa nafasi ya kutengeneza wachezaji wako mwenyewe baada ya muda unakuwa na team nzima yako
 
Marefa bana... Had kene dream league wanapeta
e4adfef6e5b2c7e91cd2d453f1dd8021.jpg
Bora Hata dream league
 
Dls 2018 ina vijimambo sana nilimuanzisha lukaku alafu nikawa namkosesha magoli game ya 10 akapiga hat trick mashabiki wakazila no shangwe
 
Wakuu mi phone yangu nikihack au nikidownload game lililohackiwa nikilifungua linakata simu inarudi kwenye menu
Tatizo ni nn nisaidieni Tafadhali
 
Ndugu, hiv ukisha install fts Kuna additional content unadownload kutoka Google play store
 
Mi nilipoona Comment za kuliponda DLS 2018. Nikaghaili kulidownload kabisa.
Nashangaa hapa washikaji mnalipa sifa.
 
Hahaha mimi kuna vitu vinanishekesha sana dls ukicheza offline..timu pinzani ikifanya sub utashangaa yaan anaweza tolewa morata alafu akaingia cahil au rudiger alafu anaenda kucheza cf
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom