Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,393
- 6,562
Mimi nimeanza upya""""kikosi nilichoki mara ya kwanza nimebomoaNitumie mkuuu nitashukuru
Mimi nimeanza upya""""kikosi nilichoki mara ya kwanza nimebomoaNitumie mkuuu nitashukuru
HichapoooNitumie mkuuu nitashukuru
Sawa mkuu nitumie ila record zako zitaendelea kuwepo kwangu au nitaanza moja yaan namaanisha zile win droo loose idad yakeMimi nimeanza upya""""kikosi nilichoki mara ya kwanza nimebomoa
Safi mkuu hiyo ni nzur sasa nitumie hiyo profile data yako na unielekeze jinsi ya kupakua niitumie hilo mana online nimependa umecheza mechi chacheHichapooo![]()
Ukireset record itakurudisha mwanzo lakini coins hautalose... Yani mfano mimi nilipohack game nilipata coins 120,680,000... Halafu ilikua tayari kwenye Elite Division na wachezaji wote walikuaMbona campten ninae mwingne au unamaanisha ni resete record ila inaniambia nitarudishwa mwanzo na nitalooz coins inakuaje hapo
Yani hakukua na haja ya prayer development.



Hahaha lete jina la timu yako ili wakat nakuadhibu nikujue kabisa[HASHTAG]#Heri[/HASHTAG] ya Christmas dreamers"""
Tukutane online niwape kipigo cha kufungia mwaka![]()
Afc musomaHahaha lete jina la timu yako ili wakat nakuadhibu nikujue kabisa
Tumia lucky patcherUlihack vipi game?
Mtu wa green hivi DLS 2018 ukihack inasumbua hivi au ni simu yangu coz naelewa ina uwezoAfc musoma
Gemu zake lazima ziwe Katika form ya ISOWakuu nisaidieni anayefahamu mchakato mzima wa ppsspp coz ninayo kwenye simu ila kupata gemu hadi kulicheza sielewi ki2
Sawa nielekeze mchakato mzima wa namna ya kuzipAtA mpaka kuchezaGemu zake lazima ziwe Katika form ya ISO
Poa poa mkuu ngoja nkipata muda ntakupa darasaSawa nielekeze mchakato mzima wa namna ya kuzipAtA mpaka kucheza
Its okayPoa poa mkuu ngoja nkipata muda ntakupa darasa
Extract file mkuuWakuu nsaidieni hiki kitu
Nilikuwa natafuta FTS 18 nimelipata,nimedownload hivi vitu
FTS 18 APK MOD
ZIP FILE OF FTS 18
NAOMBA NIELEKEZWE HATUA INAYOFUATA
NINA HAMU YAKUPLAY HATA SAHIVI
NTASHUKURU SANA
Tumia application inaitwa zarchive Ku extract au chek utub how to extractWakuu nsaidieni hiki kitu
Nilikuwa natafuta FTS 18 nimelipata,nimedownload hivi vitu
FTS 18 APK MOD
ZIP FILE OF FTS 18
NAOMBA NIELEKEZWE HATUA INAYOFUATA
NINA HAMU YAKUPLAY HATA SAHIVI
NTASHUKURU SANA
Yuko sahihi mkuu hapo mpira haijatoka kabisaMarefa bana... Had kene dream league wanapeta![]()