Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

Kwani nawewe umehack coins mkuu
Sija hack coin na nachukia ku hack coins mimi ndiyo nilimfundisha mkolomije baraka ku hack coins ....ila sitaki ni hack tena napoteza ladha ya ushindani,sasa hili nililo updates nimetoka nalo dls17 so sahivi nataka nisirudi tena huko nianze moja ,maana mpaka sahivi nina wachezaji kama kent ,wilson na nimeshalicheza game mpaka basi nimemaliza stagea zote na nimefanya round zaid ya mara 20 so kuna wachezaji wangu nimenunua natka hao hao no getting back
 
Hata mimi sihack mkuu nakomaa na wachezaji wa mchanganii nshafika div 1
 
452207e5e579130cc9c3447649d6a551.jpg
kosi la gharama ndogo ila linatoa vipigo
 
Wakuu nimeona kuna pes 2018 real face imetoka ina mb 800 ofline kama kuna mtu ambaye ana uelewa juu ya hili game namna ya kulidownload na ku-install
 
Mkuu nilidownload dls2017 online nika update playstore baada ya ku update kwenye screen hadi logo imebadilika lakini halifunguki
Hebu jaribu kupunguza vitu kwenye storage yako ya simu, huwa inakua hivi kama simu imejaa vitu basi game linashindwa ku run so litakataa kufunguka,tafuta master cleaner ipo playstore ukisha download then clear junkies hapo sasa utaniambia simu itakua nyepesi interm of performance na game lako litafunguka just do that and lem know
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom