Apk ya Dream League soccer 2017

Mbona mi simu yangu ni gb 3 ram na internal memory 16 nacheza vyema pes 2018?
 
Wakuu naomben kuuliza hivi naweza kufuta rekod za mtu aliecheza game nikilokuta baada ya kuhack coin
 
Nilifanikisha kuhack coins…
Kwa ambae bado hajaweza afanye kudownload LUCKY PATCHER (latest version), then aniquote nimupe maelezo hapa hapa
Habari mkuu, naweza nikahack coins pia kwenye hii latest version ya drm league 2018.? Ndo nimelidownload muda si mrefu ila bado sijalifungua...
Mrejesho tafadhali
 
Habari mkuu, naweza nikahack coins pia kwenye hii latest version ya drm league 2018.? Ndo nimelidownload muda si mrefu ila bado sijalifungua...
Mrejesho tafadhali
Una hack bila shida mkuu... Lakini sio kwa Luckyputcher.

Mimi pia yangu ni ya 2018

Lakini nimeihack bila shida... Coins kibao Tena hapo nimezipunguza Sana kwenye kununua wachezaji na customization kibao.

Naomba msaada wako nipande daraja kweny DLS
We itakuwa hutimizi masharti ya hiyo ngazi mfano kujenga uwanja mpaka idadi ya watazamaji inayotakiwa. Kama game lako umelihack maana ake una unlimited coins unachotakiwa jenga uwanja kwa kiwango cha mwisho kabisa then enjoy the rest brother[emoji312] [emoji313] [emoji41] [emoji41]
 
Hapo kwelii, maana mimi nimechukua makombe yote kwenye hiyo game Aisee, team azina upinzani wa kwelii mpaka naisi wachezaji wao wamekula Rushwa
Download Drm Lg 2018 then you will find the hardiness in there mkuu
 
Wakuu naomben kuuliza hivi naweza kufuta rekod za mtu aliecheza game nikilokuta baada ya kuhack coin
Yeah unaweza...

Utaanza upya kuanzia ku select captain.Lakini hela unakua nayo zaidi ya hiyo uliyoikuta kwa jamaa.
 
Una hack bila shida mkuu... Lakini sio kwa Luckyputcher.

Mimi pia yangu ni ya 2018

Lakini nimeihack bila shida... Coins kibao Tena hapo nimezipunguza Sana kwenye kununua wachezaji na customization kibao.

Umetumia app gani kuihack mkuu.?
 
Hakuna app mkuu... Kutumia app utapoteza mda tu.

Kuna ka'file' nnako unakacopy na kukapest kwenye file la dream league... Umemaliza kazi.
Kanaitwaje hako kafile.? Naomba maelezo mkuu nami nifaidi mambo
 
Luckypatcher haiwezi kuhack dream league 2018... Ilikua inahack ile dls ya 2017 tu.
Hili nimeliona maana nilijaribu ikashindikana. Naomba unpe maelezo ya hako kafile na wapi nina kapata na kukipest kwenye dream league
 
Hili nimeliona maana nilijaribu ikashindikana. Naomba unpe maelezo ya hako kafile na wapi nina kapata na kukipest kwenye dream league
Ingia Google tafuta profile.dat for dream league soccer.

Jaribu kuingiza kwa kufuata maelezo,ikishindikana tuwasiliane.
 
Ingia Google tafuta profile.dat for dream league soccer.

Jaribu kuingiza kwa kufuata maelezo,ikishindikana tuwasiliane.
Mkuu nimefuata process zote ila kufikia kwenye Device storage/Android/ Data ndani yake hakuna firsttouch file bali kuna gameloft file sasa hapa nafanyaje mkuu.?
 
Mkuu nimefuata process zote ila kufikia kwenye Device storage/Android/ Data ndani yake hakuna firsttouch file bali kuna gameloft file sasa hapa nafanyaje mkuu.?
Yeah... Sasa ingia kwenye download.Licopy and paste kwenye data.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…