Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Hayo macho vepeee
Hayo macho vepeee
Njoo pm linamoHayo macho vepeee
Ukitaka kukidownload hilo cheki video yake utube jinsi ya kudownload then kuna link watakupa ipo kwenye maelezo chini hapo ndo ya kudownloadia then mambo mengine utakua ushayaona utube jinsi ya kuinstall ila usikose faili la zarchiveWakuu nimeona kuna pes 2018 real face imetoka ina mb 800 ofline kama kuna mtu ambaye ana uelewa juu ya hili game namna ya kulidownload na ku-install
Una bundle ?Nashindwa jinsi yakucheza online naomben maelekezo wakuu
Sasa kama sina jf naingiaje mkuu we nielekeze niwakute huko onlineUna bundle ?
Hukuelewa swaliSasa kama sina jf naingiaje mkuu we nielekeze niwakute huko online



Hahaha mkuuu na mimi ni mmoja wapo ninaetembeza kipigo wewe unatumia jina gani nikibahitaka kukukuta nikushushie kipigoAsee on line kuna watu wanagonga mpira




Siri yangu aiseeeee



Hahaha hatar mkuu kule mimi natumia hsb aseee nivipigo vya maana napokea nakutoa ila nashindwa kuelewa unavyosema tier. Maana mimi unakuta nashinda gem mbili napigwa zingne afuu naambiwa siwez kuendelea sijui tier ya tisaOnline competition
Team Name:BARCANATION
opponent name:Barakamsomba95
Tier :5
Nilikua tier ya 2 vipigo nilivyochezea kuleeSiri yangu aiseeeee
Kuna watu wanacheza Mpira kulee![]()
Nimeanza upya gharama za dreamleague 2018Nina wacheza nimetoka nao mbali sana chief sitaki nianze upya maana hili dls18 nilifanya ku update tu.....any other sugestions chief.
Hahaha anza tu mimi hapana will keep playing with this kind of condition....i love to keep my old players with me... A good and professional coach will keep his old players with himNimeanza upya gharama za dreamleague 2018
sio kama wakina baraka mzee wa mbeya city liars, cheaters wa coins

Ni kama level mkuuHahaha hatar mkuu kule mimi natumia hsb aseee nivipigo vya maana napokea nakutoa ila nashindwa kuelewa unavyosema tier. Maana mimi unakuta nashinda gem mbili napigwa zingne afuu naambiwa siwez kuendelea sijui tier ya tisa