Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

Hapo kilichobaki ni kuchet coins tu
0006d67b8d62e21cfca4780a9ee660ca.jpg

Utasotaaa division 3 mpaka ulichukie hili game pendwa

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Mkuu huwa unanifurahisha sana na uchakachuaji wa coins
 
Attachments

  • Screenshot_2017-07-13-07-09-12.png
    Screenshot_2017-07-13-07-09-12.png
    111.6 KB · Views: 43
  • Screenshot_2017-07-13-07-09-22.png
    Screenshot_2017-07-13-07-09-22.png
    111.6 KB · Views: 41
  • Screenshot_2017-07-13-07-09-36.png
    Screenshot_2017-07-13-07-09-36.png
    115.7 KB · Views: 43
  • Screenshot_2017-07-13-07-09-50.png
    Screenshot_2017-07-13-07-09-50.png
    114 KB · Views: 54
Kinachokera unapewa option ya kujenga uwanja coins labda 1320 mechi mbili kabla ya div3 league kuisha unajenga ukimaliza ligi wanataka tena ujenge uwanja hapo ushaliwa coins tayari na ukipostpone kujenga unahatarisha nafasi za kujenga baadae.
Naombeni ushauri nimesota hapo div3
Usijenge uwanja mpaka mwisho wa league, na mwisho wa league watakupa option ya to upgrade uwanja na pale chagua auto upgrade..
 
Nimelifuta game nililo chakachua nimeanza upyaaa bila hacked coins, real man do not cheat on tough game lets do it, lets face new challenges from amateur level
 
Hongera mkuu,hivi ukitaka kuanza na upya ni unabofya pale kwenye restart au unafanya ku uninstall na ku install upya kabisa
 
Ahsante mkuu, mimi nili unstall ili nifute lile la kuchakachua coins, nilichakachua coins mara ya kwanza nilikua na coins million, sasa nimeanza upyaa nilimiss kupata challenges... Maana la kuchakachua nilikua nafunga goal 12 nakuendelea kila match sijawahi shuka zaidi ya hapo..... Karibu amateur Frega
 
Pamoja mkuu toxic9,kuna video nimeiona pale you tube kumbe ukirestart unaanza na moja kabisa unapoteza wachezaji hadi uwanja na rekodi zote. Ninaipenda amateur lakini kwasasa nakazana kupata coins ili nifanye player development kuna achievements bado sijazifikia na ninapenda kuzipata zote ndipo nitarestart
 
nakungojea huku amature ni mwendo mdogo mdogo, ni raha sana, sijawahi kuwa bored na hili game frega, muulize issac amefikia wapi maana kachakachua game basi anatusumbua na mess wake
 
Issac bwana alikuwa mwenzangu kabisa post zake alikuwa anapinga uchakachuaji mara ghafla he!si amekuwa kinara wa uchakachuaji
 
Nawaomba online leo nipo free nipige mtu goli Emanuel FC

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom