Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

4e2e43685502e6a356568f4bca69cf96.jpg

Online kumenoga na kosi langu la KIJESHI

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Nipo dv2 nashukuru walionielekeza nimejenga uwanja mwisho wa msimu nikapanda division sasa naona changamoto inakuwa kubwa sana
Ukifika elite division utafurahi, ukianza kucheza multiplayer mode utafurahi zaidi.
 
Nipo dv2 nashukuru walionielekeza nimejenga uwanja mwisho wa msimu nikapanda division sasa naona changamoto inakuwa kubwa sana
ah game za kiume nikimuona alady is playing huwa inanikonga nyoyo sana, big up lets roll
 
6ca2a6c74a3530709494cbaac1fbbbe0.jpg
mdogo mdogo puyo had man of the match award, kikosi kilekile magoli mengi ushindi all the time, ukiwa hujachakachua coins unatakiwa ufunge magoli mengi zaidi na hiyo ndiyo the most challenge we face
 
Bora kwenda taratibu, ya kuchakachua hainogi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Bora kwenda taratibu, ya kuchakachua hainogi

Post sent using JamiiForums mobile app
Hata usipochakachua ukawa na likikosi la maangamizi utakua unajipigia magoli mengi tu

Nilihack ili nijenge uwanja faster,na kuwa develop player wangu basi

Vipigo vipo hata ukiwa na coins 0 ukijua kulicheza na tricks zake utawapiga magoli mengi

Kwa maoni yangu ukiwa na coins 0 au coins 99999999999999 kama hujui kulicheza mathalani elite div na multiplayer ni sawa na kazi bure

Wengi wanalalamika kwa sababu wanalijua na washalizoea

Kwahiyo kuwa na coins nyingi or chache alifanya utoe vipigo vya mbwa mwizi kama hujui jinsi ya kulicheza

Post sent using JamiiForums mobile app
 
6ca2a6c74a3530709494cbaac1fbbbe0.jpg
mdogo mdogo puyo had man of the match award, kikosi kilekile magoli mengi ushindi all the time, ukiwa hujachakachua coins unatakiwa ufunge magoli mengi zaidi na hiyo ndiyo the most challenge we face
Si ni bora nichakachue tu

Hujachakachua umempiga 13-0
Ukichakachua utampiga 15-0

What is the point????

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom