Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

Jamani mi nimeshindwa kubadilisha jezi nimefuata hatua zote still inagoma

Sent from my Phantom6-Plus using JamiiForums mobile app
 
chief samahani nimedownload apk ya game ikaomba na OBB nayo nikaidownload lakini imenishinda ku install hiyo OBB na hata kwenye simu siioni. msaada wako pls.
apk, obb na data vipo folder moja kwenye hilo game, kama hujui kueka obb angalia youtube kuna tutorial rahisi rahisi.
 
Sawa, asante sana.

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Halafu kuna watu nikicheza online nawafunga 6 bila wana quit mechi kwanini?
Hao watu wapo humu hahaha wazee wa kukimbia dozi.

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Kinachokera unapewa option ya kujenga uwanja coins labda 1320 mechi mbili kabla ya div3 league kuisha unajenga ukimaliza ligi wanataka tena ujenge uwanja hapo ushaliwa coins tayari na ukipostpone kujenga unahatarisha nafasi za kujenga baadae.
Naombeni ushauri nimesota hapo div3
 
Hapo kilichobaki ni kuchet coins tu
0006d67b8d62e21cfca4780a9ee660ca.jpg

Utasotaaa division 3 mpaka ulichukie hili game pendwa

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Kinachokera unapewa option ya kujenga uwanja coins labda 1320 mechi mbili kabla ya div3 league kuisha unajenga ukimaliza ligi wanataka tena ujenge uwanja hapo ushaliwa coins tayari na ukipostpone kujenga unahatarisha nafasi za kujenga baadae.
Naombeni ushauri nimesota hapo div3
Usijenge uwanja mpaka wakupe notification mfano div two kwenda one wanataka uwanja uwe na uwezo wa kubeba watu 45000 so wakisema upgrade wewe maliza kazi mimi sijachet coins na naenda fresh now najenga kosi la mauaji .....

Power him who power exerts
 
Kwahiyo niendelee kucheza mpaka mwisho wa msimu ili upgrade ikija niwe ndani sitaki kucheat nataka nikuze uwezo wangu
 
First touch hao nimewapiga 7 hahahhahaha

Sent from my Phantom6-Plus using JamiiForums mobile app
 
Hata mimi naona niende mdogo mdogo nipo div3
Naomba niku encourage wewe kazana tu utafika unapopataka ukicheat spirit ya kupambana inakuwa low sana,mimi sijawahi kucheat lakini nimefanikiwa kufika level hizi so inawezekana kabisa
 
Attachments

  • Screenshot_2017-07-12-07-32-35.png
    Screenshot_2017-07-12-07-32-35.png
    112.6 KB · Views: 51
  • Screenshot_2017-07-05-16-10-58.png
    Screenshot_2017-07-05-16-10-58.png
    151.9 KB · Views: 62
Kinachokera unapewa option ya kujenga uwanja coins labda 1320 mechi mbili kabla ya div3 league kuisha unajenga ukimaliza ligi wanataka tena ujenge uwanja hapo ushaliwa coins tayari na ukipostpone kujenga unahatarisha nafasi za kujenga baadae.
Naombeni ushauri nimesota hapo div3
Naunga mkono ushauri wa Bengazuu,lakini kwa kuongeza angalia sana matangazo jitahidi kushinda mechi kila mwisho wa ligi angalia una coins ngapi za kuweza kujenga jukwaa lipi hadi uwanja wote utakapokamilika hapo unaweza kuanza kutafuta coins za kununua wachezaji au kuwafanyia player development wale ulionao. Inapendeza sababu utajikuta unacheza kwa malengo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom