Hahahahahaha unafunga magoli mengi si kwa kuwa umelizoea, mwanzoni uliambulia kichapo, bado umechakachua coins, hata games nyingine ni hivyo hivyo ukizoea zinakua rahisi ndiyo maana ya experience, halafu first touch umesema umeshindwa ku_install sasa umechezaje??DLS ni nyepes waachieni wacheze wadada pakueni first touch,sema mi fts 2017 linanishinda kuinstall,,.DLS napika watu mpka 34 amna cha maana raha ya game upate challenge.
Hahahahahha usisahau unahitajika na taifa kama nguvu kazi kulijenga taifa lako la viwanda, cheza game kwa kiasiNina coins 83.8M, kikosi changu ni hatari... yan kila mchezaj nikijiskia kumnunua ni fasta
Safiiiiiii mkuu, ila sio sawa maana squad ina limit ya wachezaji 32 huwezi nunua zaidi ya hapo, au wewe umefanyaje??Jitahidi kununua mkuu ukisajili wachezaji 100 na zaidi kuna achievement unai-unlock nimeona jana kwenye hii dls ya 2017
First touch umeshacheza?Weka first touch basii mbona unaliacha?
Mkuu inahitaji additional content na ikisearch inaandika no network.
Ukiwa na muda na mimi nipe maelekezo tafadhaliDownload play store file linaitwa ES explorer file then ni PM
Halina ishuu tayar hloo ,nikahama kweny DLS ,First touch umeshacheza?
hujaeka data mahala zinapotakiwa unalijua folder la obb na data lilipo?Mkuu inahitaji additional content na ikisearch inaandika no network.
Nipe msaada
Nimeliona mkuu naomba maelekezo tafadhalihujaeka data mahala zinapotakiwa unalijua folder la obb na data lilipo?
unatakiwa uwe na file manager mfano hilo es file explorer then fungua click internal storage utaona kuna folder linaitwa android bonyeza hapo ndani utakuta file la android na data.Nimeliona mkuu naomba maelekezo tafadhali
Sawa, mkuu ila nisaidie nacopy file zima la obb?unatakiwa uwe na file manager mfano hilo es file explorer then fungua click internal storage utaona kuna folder linaitwa android bonyeza hapo ndani utakuta file la android na data.
rudi kwenye game copy kilichopo ndani ya obb kakipaste kwenye folder la obb lililopo ndani ya android, kacopy na data kapaste kwenye folder la data kwenye android, then install apk halafu cheza game.
unacopy kilichomo ndaniSawa, mkuu ila nisaidie nacopy file zima la obb?
Mkuu yenyewe inahesabu unaonunua na kuuza so wakifika limit(32) unauza unaotaka na kununua wapya ile count inaendelea kama kawaida.Safiiiiiii mkuu, ila sio sawa maana squad ina limit ya wachezaji 32 huwezi nunua zaidi ya hapo, au wewe umefanyaje??
Mkuu yenyewe inahesabu unaonunua na kuuza so wakifika limit(32) unauza unaotaka na kununua wapya ile count inaendelea kama kawaida.
So far zile achievements zipo 63 nimeweza kuzitimiza 40 bado 23 ambazo ni hizi hapaMkuu yenyewe inahesabu unaonunua na kuuza so wakifika limit(32) unauza unaotaka na kununua wapya ile count inaendelea kama kawaida.
Sawa ngoja nirejee tena upyaunacopy kilichomo ndani
Halina ishu basi sio zuri..Halina ishuu tayar hloo ,nikahama kweny DLS ,
UMEFANIKIWA KULIPATA?
FTS 17 hiyo