Marashaaa95
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 849
- 724
Highlight Uzi alioelekeza mkuu me nmeshindwa kuuelewa nmejaribu nnkaishia kufuta game pasipo kujijua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu inabidi kwanza u root simu yako kisha weka lucky patcher then fuata vema maelekezo ya jamaa pale juu.
Mi sasa hivi kosi langu wote ni GOLDEN BOYS
Kila heri mkuu nyie ndo mnaoneshwa dhahabu ile lakini mnakwenda kuchimba shimo pembeni uikute dhahabu ile.ileMimi naamini nitafanya kazi bila kucheat coins japo players wangu hawajafika level ya golden boys lakini mziki wao ni kwere record zangu ni matata sana
Mkuu haina haja ya kucheat sababu inatakiwa upate coins kihalali kwa kucheki video na kushinda mechi,unapopata coins nyingi na kununua mchezaji/wachezaji unaowataka huwa inapendeza zaidi mimi nimeona ni vyema ninunue wachezaji ambao wakiwa kwenye timu zao wananisumbua sana na matokeo yake ni kama haya hapaMie hapa bila kucheat coins. ,kikosi changu cha kawaida mnoooo ,nilifuata kila hatua nikaishia kufuta games [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27].
Nashukuru mkuu,mimi ntaendelea kucheza ki uhalaliKila heri mkuu nyie ndo mnaoneshwa dhahabu ile lakini mnakwenda kuchimba shimo pembeni uikute dhahabu ile.ile
Ahaahahha kumbe ni wewe mkuu, nilicheza online nikakuchapa 3-1 [emoji3][emoji3][emoji3]Mie hapa bila kucheat coins. ,kikosi changu cha kawaida mnoooo ,nilifuata kila hatua nikaishia kufuta games [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27].
Mkuu naomba cheats.ukiroot unacheat tu na app kama gameguardian ila kama hujaroot inabidi udownload upya au udownload saved file ya mwenzako
Mkuu, mimi sijapata sehemu ya kuistall Game.
1.Anza kwa kudownload lucky patcher
2.Then ifungue app ya lucky patcher na utafute Dream league ilipo
3.Fungua sehemu ilivyoandikwa hivyo
4.Bonyeza sehemu iliyoandikwa Create Apk kama nilivyomark
5.Bonyeza sehemu iliyonyoandikwa hivyo
6.Bonyeza rebuild up na uiache iprocess kama kwa dakika 2 nzima
Ikimashamaliza itakuletea option ya kuinistall/unstall game
Fanya hivyo
Likisha install rudi nyuma kawaida na ufungue App ya DLS kawaida.
Likishafunguka na ukasajili captain wako bonyeza pale kwenye COINS
Ukishabonyeza kwenye COINS itakuletea hiyo option na weka TICK kama nilivofanya hapa
HahahaaAhaahahha kumbe ni wewe mkuu, nilicheza online nikakuchapa 3-1 [emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu umepataje hico coins?
Mkuu, kuna moja hapo ina MB 61. Pia kuna nyingine inaitwa OBB ina MB 213.
hio yenye 61mb ni apk, unainstall kama kawaida,Mkuu, kuna moja hapo ina MB 61. Pia kuna nyingine inaitwa OBB ina MB 213.
Hapo Sijaelewa Mkuu.
Online sijawahi kubakiza mtu salama [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaa
Mkuu dondosha link hapa tupakue msosi
Game zangu hzoo
Dondonsha hapa mkuuhzo ni game za psp nichek pm
Mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeamua ku hack coins haahahahhaahhaNimeamua kucheat ili nipate coins Bt procedure zote nimefuata,imebuma mpaka game likajifuta mazima,ikabidi nidownload upya
Any ideas hatua kwa hatua ili nipate coins.
chief mkwawa
Mkuu mtandao ulikua unazingua mbaya,nkaamua ku give up.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji31] [emoji23] [emoji31] [emoji31]Ahaahahha kumbe ni wewe mkuu, nilicheza online nikakuchapa 3-1 [emoji3][emoji3][emoji3]