Pole sana ndugu,jaribu tena,ukikwama nijulishe,
Nimekuta ile file ya dls na nkairudisha obb but imenikwamia kuinstall inafanya hv dah ni gundu hili mkuu nimedownload tena playstore nataka nirudie mchakato kwa mara ya mwisho
Imekwama vilevile kaka sasa cjui ni cm au nnPole sana ndugu,jaribu tena,ukikwama nijulishe,
kwan lazma uchakachue mkuu!!!? cheza hivyo hivyo
Nimekuta ile file ya dls na nkairudisha obb but imenikwamia kuinstall inafanya hv dah ni gundu hili mkuu nimedownload tena playstore nataka nirudie mchakato kwa mara ya mwisho
VYA BURE GHARI SIO MPAKA UCHAKACHUE MKUU CHEZAAAA MBONA MIE SIJACHAKACHUA NAPETA TUUU[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nimekuta ile file ya dls na nkairudisha obb but imenikwamia kuinstall inafanya hv dah ni gundu hili mkuu nimedownload tena playstore nataka nirudie mchakato kwa mara ya mwisho
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] vizuri mkuuVYA BURE GHARI SIO MPAKA UCHAKACHUE MKUU CHEZAAAA MBONA MIE SIJACHAKACHUA NAPETA TUUU[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Tulia kidogoVYA BURE GHARI SIO MPAKA UCHAKACHUE MKUU CHEZAAAA MBONA MIE SIJACHAKACHUA NAPETA TUUU[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kuchakachua chakachua,ni dalili ya Uoga na kuogopa challenges me nipo ELITE DIVISION bila kuchakachua hizo coinsTulia kidogo
Nami nilikuwa div 3, Coins hazikutosha kuboresha uwanja. Nikaamua kuchakachua. Kila nikifungua linagoma. Bora kucheza hivyohivyo.Kuchakachua chakachua,ni dalili ya Uoga na kuogopa challenges me nipo ELITE DIVISION bila kuchakachua hizo coins
Mkuu hii game nimeicheza mpak mwisho yani kwenye ile stage unayocheza na timu yako,ila mm ni mpenzi wa hili game na kwa kifupi ukilizoea inakuwa inaboa kuanza na kina cralk hawana kasi wana nyata ndio maana nlitaka nipate coin za kuchakachua kwa muda mfupi ili niwahi elite nikimbizane na kina ronaldo na kikubwa sipendi kusajiri wenye majina napenda niwe na coin za kumupgrade clark awe na 100 kuanzia kasi mpaka goalleeping ili nipambane na kina messiKuchakachua chakachua,ni dalili ya Uoga na kuogopa challenges me nipo ELITE DIVISION bila kuchakachua hizo coins
Sio unapambana na barcelona ila messi,pique,neymer .suarez nk unao ww hapi hakuna radhaMkuu hii game nimeicheza mpak mwisho yani kwenye ile stage unayocheza na timu yako,ila mm ni mpenzi wa hili game na kwa kifupi ukilizoea inakuwa inaboa kuanza na kina cralk hawana kasi wana nyata ndio maana nlitaka nipate coin za kuchakachua kwa muda mfupi ili niwahi elite nikimbizane na kina ronaldo na kikubwa sipendi kusajiri wenye majina napenda niwe na coin za kumupgrade clark awe na 100 kuanzia kasi mpaka goalleeping ili nipambane na kina messi
Marudio katika maelekezo ya awali kuna jambo niliruka nenda hatua kwa hatuaImekwama vilevile kaka sasa cjui ni cm au nn
Wanakuzingua we chakachua tu upate ukitakacho,coins zipo limit sana mpaka unashindwa badilisha jezi,kujenga uwanja,nenda kachakachue umpate mchezaji unayemtaka,uone raha ya game na ufurahie ushindani,wao wenyewe wanatupa timu kama Barcelona timu imekamilika pamaoja na tunashinda hivyo hivyi ila nao wakutane nasi tumesajil viumbe hatari raha ya game ucheze huku unagonga nyavu mbayaMkuu hii game nimeicheza mpak mwisho yani kwenye ile stage unayocheza na timu yako,ila mm ni mpenzi wa hili game na kwa kifupi ukilizoea inakuwa inaboa kuanza na kina cralk hawana kasi wana nyata ndio maana nlitaka nipate coin za kuchakachua kwa muda mfupi ili niwahi elite nikimbizane na kina ronaldo na kikubwa sipendi kusajiri wenye majina napenda niwe na coin za kumupgrade clark awe na 100 kuanzia kasi mpaka goalleeping ili nipambane na kina messi
Dah imekuchukua miezi mitatu kapata uzoefu halafu unafunga 7 mkuu,ulipaswa ugonge 10 na kuenda juu
Nivipigo natembeza baada ya kutumia takriban miezi mitatu mpaka kufika elite
Niunge kwenye hilo grp 0677682368Hatar hyo
Psp nzuri sanaa nna grup flan wanatuma game za psp za kwenye simu achana na dream league soccer mi napend game lenye kuanzia mb 800 ndo hua zuri
Thkx man maana fts15 nilicheza had nikachoka afu fts15 hard level n nzur kuliko dream league 17 ..xo nafkr n muda wa ku uninstall dreamleaguemkuu ilo game baya ingia Google download appvn hii ni application kama play store afu tafuta game linaitwa first touch soccer 17 autajuta
Mieziii mitatuuuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji27] [emoji27] [emoji27] EREWIIIIIIIIIIIIIIIIII!!!!MIE NIMETUMIA WIKI MBILI 2 KUINGIA ELITE DIVISION
Nivipigo natembeza baada ya kutumia takriban miezi mitatu mpaka kufika elite