Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 10,790
- 22,202
Mkuu ukiambiwa mtu ni mgonjwa wa akili nadhani kinachokujia kichwani mwako ni mtu anaeokota makopo , mchafu sana, anatembea peku , anaongea peke yake nk.kulawiti ni kosa kisheria hata umfanyie shoga.
lakini huyu mgonjwa ana tatizi binafsi,
ni kama yule aliyekuwa anasimulia....
alinishika mkono namuangalia tu
akanipeleka ndani namhangalia tu
akanilaza kitandani namuangalia tu
akanivua nguo namuangalia tu
ananipaka mafuta namuangalia tu
na kuingiza namuangalia tu.
La hasha, hapa mtaani kulikua na dada ni msafi hata wewe humfikii lakini dishi limeyumba. Ila ukimuona na ukaambiwa hiyu cheupe chekundu huwezi kuamini labda ukae nae aanze kuongea.
Kuna ishu ilitokea jamaa alimkula huyo manzi halafu alichomuahidi kumpa hakumpa, acha aanze kumtangaza kwa watu, na kitu alichoahidiwa ni cha kitoto kabisa kwa kipindi hicho ambavo hakupewa akawa analalama kwa watu kama vile mtoto usipompa kitu ulichomuahidi.
Wagonjwa wa akili wametofautiana mkuu, si ajabu huyo nae ni hivo hivo tu aliahidiwa kitu akakubali kupigwa pipe.!