Apelekwa rumande kwa tuhuma za kumlawiti mlemavu wa akili

Inna lilahi waina ilaihi rajiun, katumia nafuta gani hayo, na mgonjwa wa akili kapataje ufaham wa kutoa ushahidi, una miaka 35 ilikuwaje ukabebwa pasi na kuketa hata vurugu au kupiga kelele, mpaka unapakwa mafuta na kuingizwa uume je alikufunga kamba?mpaka ana maliza umetulia tu unaingiliwa jmn,aaah jamn waoemba vipi tena
Lazima wavaa kobazi mje kuteteana hapa
 
Heheee..make hapo kwanza ncheke.

Anyway kwa wapemba hiyo ni kawaida mbona mengi sana machafu yanafanyika na wanafichana mana karibia kisiwa kizima wanafahamiani hivyo wengi hufichiana maovu.

Na maovu mengi huwa hayafikishwi kwenye vyombo vya sheria.

Kitendo cha kipuuzi sana na hakifai kabisa.

Daah..ngoja niishie hapa.

Siungi mkono homosexuality.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huko Moshi kulikua kuna tetesi Kuna kilema mmoja (Ni mlemavu wa akili pia) Wana huwa Wana tabia ya kumlewesha na kumlawiti afu Ni wa kiume
Yule kulema Ni kawaida kumkuta suruali ipo magotini akiwa amekaa kwenye kibaisikeli chake huku kajisaidia hapo hapo
 
Dhambi sanaaaa,
 
Huu uzi wachangiaji wengi labda ni watoto sana au hawaijui jamii inayotuzunguka na mitihani yake,kiujumla omba usiombe kukutana na maswahibu ya hii dunia utakuwa mdogo sana
 
Inna lilahi waina ilaihi rajiun, katumia nafuta gani hayo, na mgonjwa wa akili kapataje ufaham wa kutoa ushahidi, una miaka 35 ilikuwaje ukabebwa pasi na kuketa hata vurugu au kupiga kelele, mpaka unapakwa mafuta na kuingizwa uume je alikufunga kamba?mpaka ana maliza umetulia tu unaingiliwa jmn,aaah jamn waoemba vipi tena
Wamwshasema ni ''Mlemavu wa Akili'' hivyo ni rahisi kurubuniwa.
 
Swali kwa Wataalamu wa Sheria;

Je Mtu aliyethibitishwa kuwa ni Mlemavu wa akili anaweza kutoa Ushahidi na ukazingatiwa Mahakamani?

Vipi kama akili zake zimemwambia kuwa Amebakwa ilhali hajabakwa? Maana wengine humu Mtaani tunawaona wakiendesha magari virtually na wanaamini kabisa kuwa wamo ndani ya gari halisi, na honi wanapiga kwa mdomo..
Unsounded mind
 
Huko Pemba wamezidi kupakana mafuta mpaka wameanzishiwa mahakama maalum ya makosa ya udhalilishaji.
 
Mahakama ya Mkoa Kusini Pemba Chake Chake imemrudisha rumande Said Hassan Mabrouk maarufu kwa jina la Said King, mkazi wa Mtoni Chake Chake kwa tuhuma za kumlawiti mlemavu wa akili mwenye umri wa miaka 35.

Katika muendelezo wa kesi hiyo iliyosikilizwa Juni 28, 2022 mwendesha mashtaka wa Serikali Ali Amour Makame mbele ya hakimu wa Mahakama maalum ya makosa ya udhalilishaji Muumin Ali Juma, imedaiwa Mahakamani hapo kuwa mshitakiwa siku ya tarehe 10\05\2022 Majira ya saa 1:30 za asubuhi Mtoni Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba, mtuhumiwa alimlawiti mlemavu wa akili jambo ambalo ni kosa kisheria.

Shahidi nambari moja ambaye ni muathirika wa kesi hiyo ya udhalilishaji ameiambia Mahakama kuwa siku ya tarahe 10\05\2022 majira ya saa 1:30 asubuhi mtuhumiwa alimchukuwa kutoka nyumbani kwao (muathirika) na kumpeleka nyumbani kwake (mtuhumiwa) na kumuingiza chumbani kisha kumvua nguo na kumlaza kifudifudi na kumpaka mafuta sehemu yake ya siri ya haja kubwa na kumfanyia kitendo cha udhalilishaji.

“Alikuja kunichukua nyumbani na kunipeleka nyumbani kwake kisha akanitia chumbani na kunivua nguo akanilaza kifudifudi akanipaka mafuta nyuma na kunifanyia kitendo hicho na alipomaliza akanambia nisiseme nyumbani,” alieleza muathirika huyo.

Baada ya ushahidi huo kutolewa ambao uliwaacha watu vinywa wazi hakimu Muumini Ali Juma alighairisha kesi hiyo hadi Julai 12, 2022 itakaposikilizwa tena ushahidi.

Juni 28, 2022 ni mara ya nne kesi hiyo kurindima Mahakamani hapo, ambapo mara ya kwanza kesi hiyo kutajwa ilikuwa ni Mei 23, 2022, Juni 06, 2022 na Juni 14, 2022.

Chanzo: Idawaonline
Sasa twaelewa kwanini hawajiiti wqbqntu. Wenzetu Waarabu kwao kawaidq!😆😅😂🤣
 
La Haulah.... Laanakhum hii Sheikh....!

Tulijua wanawafanya tu wake zao, kumbe mpaka vichaa?

Kwani huyu SAID HASSAN MABROUK ni Mgalatia wa Kanisa lipi? Kwasababu Waislam KAMWE hatufanyi ushenzi kama huu wallah.
Mbona walimu wa madrasa wanaongoza?
 
Mtu kuwa mgonjwa wa akili haimanishi ndio hana ufahamu, kumbukumbu au hawezi kusimulia.

Nimekutana nao mara kadhaa.

Pia kuna wakati mgonjwa anaweza kuwa haongei kabisa au akafanya Vurugu, lakini baada ya muda unaweza kupiga nae stori vizuri tuu.
Ulikutana na wazee wa idara husika kiusalama wala si wagonjwa wa akili.
 
Swali kwa Wataalamu wa Sheria;

Je Mtu aliyethibitishwa kuwa ni Mlemavu wa akili anaweza kutoa Ushahidi na ukazingatiwa Mahakamani?

Vipi kama akili zake zimemwambia kuwa Amebakwa ilhali hajabakwa? Maana wengine humu Mtaani tunawaona wakiendesha magari virtually na wanaamini kabisa kuwa wamo ndani ya gari halisi, na honi wanapiga kwa mdomo..
Wenye akili hawawezi kupita hapa bila ya
 
Back
Top Bottom