Apelekwa rumande kwa tuhuma za kumlawiti mlemavu wa akili

Mahakama ya Mkoa Kusini Pemba Chake Chake imemrudisha rumande Said Hassan Mabrouk maarufu kwa jina la Said King, mkazi wa Mtoni Chake Chake kwa tuhuma za kumlawiti mlemavu wa akili mwenye umri wa miaka 35.

Katika muendelezo wa kesi hiyo iliyosikilizwa Juni 28, 2022 mwendesha mashtaka wa Serikali Ali Amour Makame mbele ya hakimu wa Mahakama maalum ya makosa ya udhalilishaji Muumin Ali Juma, imedaiwa Mahakamani hapo kuwa mshitakiwa siku ya tarehe 10\05\2022 Majira ya saa 1:30 za asubuhi Mtoni Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba, mtuhumiwa alimlawiti mlemavu wa akili jambo ambalo ni kosa kisheria.

Shahidi nambari moja ambaye ni muathirika wa kesi hiyo ya udhalilishaji ameiambia Mahakama kuwa siku ya tarahe 10\05\2022 majira ya saa 1:30 asubuhi mtuhumiwa alimchukuwa kutoka nyumbani kwao (muathirika) na kumpeleka nyumbani kwake (mtuhumiwa) na kumuingiza chumbani kisha kumvua nguo na kumlaza kifudifudi na kumpaka mafuta sehemu yake ya siri ya haja kubwa na kumfanyia kitendo cha udhalilishaji.

“Alikuja kunichukua nyumbani na kunipeleka nyumbani kwake kisha akanitia chumbani na kunivua nguo akanilaza kifudifudi akanipaka mafuta nyuma na kunifanyia kitendo hicho na alipomaliza akanambia nisiseme nyumbani,” alieleza muathirika huyo.

Baada ya ushahidi huo kutolewa ambao uliwaacha watu vinywa wazi hakimu Muumini Ali Juma alighairisha kesi hiyo hadi Julai 12, 2022 itakaposikilizwa tena ushahidi.

Juni 28, 2022 ni mara ya nne kesi hiyo kurindima Mahakamani hapo, ambapo mara ya kwanza kesi hiyo kutajwa ilikuwa ni Mei 23, 2022, Juni 06, 2022 na Juni 14, 2022.

Chanzo: Idawaonline
Mgonjwa wa akili analindwa na sheria kwa vila IQ zao ni chini ya kiwango cha binadamu wa kawaida ni raisi kuhadaiwa . Mgonjwa wa akili sio lazima asiwe na kumbukumbu ndio maana wanaenda shule mahalumu na wanafundishwa kusoma na kuandika na masomo mengine na pia kuna wagonjwa wa akili tofauti tofauti ndio maana wengine hadi wanaajilia na kufanya kazi kawaida kabisa
 
Mkuu ukiambiwa mtu ni mgonjwa wa akili nadhani kinachokujia kichwani mwako ni mtu anaeokota makopo , mchafu sana, anatembea peku , anaongea peke yake nk.

La hasha, hapa mtaani kulikua na dada ni msafi hata wewe humfikii lakini dishi limeyumba. Ila ukimuona na ukaambiwa hiyu cheupe chekundu huwezi kuamini labda ukae nae aanze kuongea.

Kuna ishu ilitokea jamaa alimkula huyo manzi halafu alichomuahidi kumpa hakumpa, acha aanze kumtangaza kwa watu, na kitu alichoahidiwa ni cha kitoto kabisa kwa kipindi hicho ambavo hakupewa akawa analalama kwa watu kama vile mtoto usipompa kitu ulichomuahidi.

Wagonjwa wa akili wametofautiana mkuu, si ajabu huyo nae ni hivo hivo tu aliahidiwa kitu akakubali kupigwa pipe.!
Kweli mkuu, tusichojua ni ukubwa wa kiwango cha tatizo la akili. Mahakama ina lugha yake ya kisheria.

Kuna tukio moja, wanaume wenye tatizo la akili, wakiwa marafiki, walikubaliana kulana kwa zamu. Wa kwanza kula aligoma kuliwa. Aliyeliwa alikwenda polisi kueleza kwamba mwenzake anakataa kuliwa kama walivyokubaliana.

Siku hiyo hakuna askari ambaye alivumilia bila kucheka.
 
Vitendo ivi nikosa kisheria .... lakini nina swali mbona kama mtendwa karahizisha sana yani una bebwa mpaka unapelekwa kitandani , bado upakwe mafuta bado tu umetulia kweli? ...inamana hakuna hata mtu aliye ona mpaka unafikishwa ndani? ...... au vichaa wa hapa Dar wapo tofauti?
Hakubebwa. Soma tena.
 
Back
Top Bottom