Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
- Thread starter
-
- #61
Kuna sehemu nilisoma kuwa "Mwanamke kukubali kuwa chini ya mwanaume ni kwasababu kuna kitu anakitafutaila akiona kuwa unamchelewesha au alivhotegemea hakiwezi tokea basi huanzisha varangati ili aachane na wewe"Ampe TU!
Wanawake wanajua WWanachokitafuta Kwa sisi wanaume!lakini sisi ni vigum kujua kwanini waliamua kuishi na sisi Hadi pale malengo yanapotimia!!!
Ukiona ameanza kusema TUACHANE TUACHANE,NENDA TU UNIACHE NA WANANGU!MARA WEWE KWANI KITU GANI WEWE!!
Ukianza kuona haha kwenye majibizano ya hasira!go just go brother move on!your not a hero anymore!
Anhaaah acha ikae hivyo hivyo as long as mnaweza kusomaMpaka moderator. Maana hiyo iliyopo ina sound like alivyopata tu kazi akaomba talaka.
Nimeamua kwenda na Toyota Runx mkuu kesho namaliza hela yao.....Hivi ile Toyota vip inunue faster shem apunguzie munkari wakutaka talaka 😅
Unaniua sana tena unachoma kwenye makaliHivi ile Toyota vip inunue faster shem apunguzie munkari wakutaka talaka 😅
Asimpe talaka kwanza, amwache ajitegemee kwa muda hata wa mwaka mmoja tuKuna kesi ngumu kidogo hapa.
Jamaa yangu amekaa na Mke wake kwenye ndoa miaka 9 sasa. Kumbe Mke alikuwa anatafuta kazi sasa amepata.
Baada ya kumletea mume majibu amemnyima ruhusa kuajiriwa.
Mke anataka kazi, Mume hataki. Sasa Mke anataka talaka ili akafanye kazi. Je! Ampe?
Atarudisha miguu mwenyew sio? HahahaAsimpe talaka kwanza, amwache ajitegemee kwa muda hata wa mwaka mmoja tu
Hapo safi mkuu...Nimeamua kwenda na Toyota Runx mkuu kesho namaliza hela yao.....
Yes inaweza kuwa alikuwa hapati kile alichokuwa anataka kwa muda sahihi au labda jamaa ni muongo muongo tu, sina hakika sana ila najua mwanamke akitaka uhuru kiuchumi jua ndani kuna mapovuHapo safi mkuu...
Mwambie jamaa amwache aende tu, tena shukuru keshapewa warning mapema, maana akitaka abaki atapata tabu zaidi, ila kuna jambo kwanini mkewe aseme hivyo or may be amenyanyasika sana akawa anatafuta uhuru wa kiuchumi.
Umejuaje kama ni mimi? Please hii isiwe direct pointing....binafsi siwezi ruhusu mke wangu kuwa mfanyakazi ikiwa inauwezo wa kumfungulia biashara na akafanya sawasawa na ofisini huko.Nahisi huyu mwanaume ni wewe, uko insecure sana; ni mtu mjinga tu anaye control mke km remote.
Mwache mke afanye kazi, mimi binafsi siwezi kaa na mwaname asiye na kazi.
Rafiki yako atakuwa na mabaya yake kwenye masuala ya fedha maana baadhi yetu tunataka watutegemee ila deep down tuko very negative, nahisi anamnyanyasa sana sio bure mkuu. Unajua sisi baadhi huwa hatuwezi waambia rafiki zetu kama tunawatesa wake zetu hilo ni gumu sana.Yes inaweza kuwa alikuwa hapati kile alichokuwa anataka kwa muda sahihi au labda jamaa ni muongo muongo tu, sina hakika sana ila najua mwanamke akitaka uhuru kiuchumi jua ndani kuna mapovu
Kuna viashiria ninaviona pia, mwanamke akiwa ananyanyasika anaonekana tu hata mawazo yake mengi ni kujitetea.....wanawake wanaweza kuigiza sana ila kwenye ishu ya pesa hawawezi sababu wanahitaji sana pesa kuliko sisi.Rafiki yako atakuwa na mabaya yake kwenye masuala ya fedha maana baadhi yetu tunataka watutegemee ila deep down tuko very negative, nahisi anamnyanyasa sana sio bure mkuu. Unajua sisi baadhi huwa hatuwezi waambia rafiki zetu kama tunawatesa wake zetu hilo ni gumu sana.
Yupo na uchumi wa kawaida tu ila anatimiza mahitaji yake kama kawaida, mwanamke anataka kumsaidia mwana makujukumu ila mwana hataki mke wake atoke aende kutafuta nje akiwa na akili kuwa ATAPARAMIWAAmpe talaka chap sana.
Mwanaume ana pesa kiasi gani hadi hataki mkewe afanye kazi?
Asije kuwa mwanaume mwenye maisha ya kuungaunga tu,halafu anataka kumfungia mkewe ndani kama boksa.
Yap inawezekana pia walau kila mwezi amtengee 300K ya kwake na mambo yakeMlipe mshahara akae nyumbani
Mjinga huyo jamaa kama kutombew@ hata hapo home kwake mkewe anaweza kuliwa kama kawaida.Yupo na uchumi wa kawaida tu ila anatimiza mahitaji yake kama kawaida, mwanamke anataka kumsaidia mwana makujukumu ila mwana hataki mke wake atoke aende kutafuta nje akiwa na akili kuwa ATAPARAMIWA
Laki tatu haitoshi.....muongezee na ya mafaoYap inawezekana pia walau kila mwezi amtengee 300K ya kwake na mambo yake