Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,273
- 93,817
Ameshamzalisha??Kuna kesi ngumu kidogo hapa.
Jamaa yangu amekaa na Mke wake kwenye ndoa miaka 9 sasa. Kumbe Mke alikuwa anatafuta kazi sasa amepata.
Baada ya kumletea mume majibu amemnyima ruhusa kuajiriwa.
Mke anataka kazi, Mume hataki. Sasa Mke anataka talaka ili akafanye kazi. Je! Ampe?
Watoto 2Ameshamzalisha??
Kwanini tena???Kwa ndoa za sasa, aombe tu talaka
Anasema mke wake sio mwaminifuMWache afanye kazi ili ndoa iendelee kuwepo.
Wanao watoto 2 tayariNa mkipata mtoto usisahau kutembea eneo lake la kazi kuona Mtoto anafanana na Nani hapo ndani..
Tatu Begani.
Wewe wamekutuma ulete mgogoro wao jf au kiherehere chako kipo juu ?Kuna kesi ngumu kidogo hapa.
Jamaa yangu amekaa na Mke wake kwenye ndoa miaka 9 sasa. Kumbe Mke alikuwa anatafuta kazi sasa amepata.
Baada ya kumletea mume majibu amemnyima ruhusa kuajiriwa.
Mke anataka kazi, Mume hataki. Sasa Mke anataka talaka ili akafanye kazi. Je! Ampe?
Utajuaje je kama ni mimi mwenyew nimeamua kutumia jina la JAMAA ili nikwepe direct pointing comment? Fikiria kama huwezi jibu pita hiviWewe wamekutuma ulete mgogoro wao jf au kiherehere chako kipo juu ?
Aysee una nguvu sana.....ulikuwa umemuoa??Mm.mwanamke alinifata naomba TUACHANE NKAMPA MSAADA kila alipoenda tumefika Baraza anahojiwa ANASEMA bado anampenda MUMEWE
Nkajibu mm Sina IMANI nae Tena na siwezi kuishi nae Tena na nishamwachia kila kitu CHANGU
Akahisi comedy
NXTY tutakutana maratatu nkasimama na MSIMAMO wangu
Tukafika mahakamani ANAKUJA na nduguze angalia anaomba shetani alimptiaaa akakutana na MADADA wakichaga masisters weweee mwachieni kakayetu afe kwa. Mapenzi ya MUNGU
Nkaulizwaaa mahakamani nkawaonba TUACHANE na Sina IMANI anaweza niua
Miezi kadhaa ya jarambaa hakimu akasema kwa kweli mpaka sasa hamna means ya kuelewana na tukiendelea kulazinisha hii NDOAA mnaweza kumalizinaaa
Akaulizwa unakunywa nkajibu ndio akaulizwa angalia NKAMWAMBIA anakunywa vizuri tu
Wazee WA Baraza wakasema tuyamalize kila mtu achapelapa
HAkuamini miezi kadhaa anapiga simu ANAKUJA nilipo namkwepa Bahama ACHA tu
Nkabadil namba za simu ikawa pona Yangu
Akaja kusikia na watoto na familia
Aalipopata namba sijui akapiga usiku NKAMPA bibie mpya akaomba usipige Tena dada nimelala na mume wangu pls
Ykaishia HAPO
Imagine na mie ningekuwa na ujinga kama wake tuelewane...kesho mnakaa wapi mliosambaza wanaachana
Ndoaa
Konyoooo kabisa
Ampe Talaka, Aoe mwanamke wa Nyumban.Watoto 2
Mtaniii!!Hilo ni swala la kukaa na kukubaliana wala halihitaji watu kutalikiana.
Saa ingine waeza huyo jamaa ako anachojua kukifanya kwa mke wake ni kumlisha tu.
Mkuu Kwa Ndoa za Sasa?Kwa ndoa za sasa, aombe tu talaka
Ampe tu talaka na kaziWatoto 2