nyiokunda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 2,136
- 1,305
Sio kila mtu muajiriwa.Sasa ukiolewa wakat unachukua pensheni kuna raha gani?!
Mashine yenyewe inakuwa out of order
Sio kila mtu muajiriwa.Sasa ukiolewa wakat unachukua pensheni kuna raha gani?!
Mashine yenyewe inakuwa out of order
Kama hujui mambo ni bora unyamaze tu....hujui kuwa unaweza kuwa sio muajiriwa na ukawa pensioner?!Sio kila mtu muajiriwa.
Lipi?Hivi ww ulivyokuwa mtata unaweza kufanya hili?!
Kukamuliwa maziwa miaka 30 bila kuvaa shelaLipi?
Acha uongo labda ulaya sio bongo.Kama hujui mambo ni bora unyamaze tu....hujui kuwa unaweza kuwa sio muajiriwa na ukawa pensioner?!
Nenda ukaulize vzr mdg wangu
Amen.Kweli ngoja nitulize boli mpaka nifike miaka70![]()
Not everthing can depreciate.Depreciation of an asset takes place regardless of the usage of the asset. Whether it is in use or not it must depreciate
Kwani uko ngapi sasa???Kweli ngoja nitulize boli mpaka nifike miaka70![]()
Mkuu una uzoefu?weeee, usiombe kukutana na mashine za watu wazima ni watamu ajabu kama ana miaka 15, hao wameshafikia menopause kauchi kanakuwa kadogo. nakwambia hutamuacha.
Ndio tena wako happy kabisahahaha mtu usikilizie mpaka 55 kimjini mjini hapa..
na kweli mkuu....wanajipa tumaini....Huu uzi ni maalum kwa akina Dada above 30 without marriage kutiana moyo.Vizuri Sana.