Aolewa akiwa na miaka 60

Dejane

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
50,270
70,663
Mwanamama huyu sijajua ni wa nchi gani lakin amefunga ndoa kwa mara ya kwanza akiwa na miaka 60 kwa hiyo usikate tamaa kama bado hujaolewa na unataka sana ndoa
Screenshot_2017-02-05-10-45-10-1.png
 
Nataka kumuna huyo mwanamke anayeishi na mwanaume kwa miaka zaidi ya 30 bila ndoa
Wapo wengi waliofanya tradition tu... Mahari tu inakua imefanyika ...mikoani hasa vijijini inatokea sana... Na Mara nyinfi hufunga ndoa za pamoja kila mwaka
 
Wapo wengi waliofanya tradition tu... Mahari tu inakua imefanyika ...mikoani hasa vijijini inatokea sana... Na Mara nyinfi hufunga ndoa za pamoja kila mwaka
Hivi ww ulivyokuwa mtata unaweza kufanya hili?!
 
weeee, usiombe kukutana na mashine za watu wazima ni watamu ajabu kama ana miaka 15, hao wameshafikia menopause kauchi kanakuwa kadogo. nakwambia hutamuacha.
Sasa ukiolewa wakat unachukua pensheni kuna raha gani?!

Mashine yenyewe inakuwa out of order
 
Back
Top Bottom