Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,957
Safi sana kwa miaka 55 au 60 anapaswa kuwa na ndoa!! Imagine ulikuwa mjane na umeshakamilisha kazi ya kusomesha watoto wako na pengine wako kwako wanajitegemea!!! You also need someone to cheer up life my dears. Yaani hakuna kitu kibaya sana kama upweke!!! Lots of depression, I tell you. Sikubaliana kabisa na mtu eti akifiwa asimpate tena partner. Life goes on. Ukweli ninawaambia tena ninarudia kuwa upweke ni ugonjwa mkubwa and that partnership ni zaidi ya sex mnazowaza vijana wa miaka hii. Ukweli leo hii ninaweza kuishi bila sex na kuwa na mwenzangu inatosha mno. Akisafiri kidogo huwa ninaona pengo kupita kitu chochote. Subiri upate umri ndipo utafahamu maana ya ninachokieleza hapa.