pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,057
- 3,329
Bado chanel ten....
Post sent using JamiiForums mobile app
Post sent using JamiiForums mobile app
Eti wanasema ana uhusiano na nchi moja ya Afrika Magharibi, labda!hivi ni kweli so raia? leteni mambo sawa. sasa sijui atakuwa mtu wa congo, rwanda, burundi au uganda. kwanini gwajima alituonjesha tu supu alafu nyama akaificha? fungukeni.
....Ajifiage tuuu!Diallo alikuwaga team Lowassa kabla hajahamia team Membe,lazima akiwa Team Lowasa alifanyaga figisu kubwa mpaka naona hata favor hafanyiwi tena.JK njoo umuokoe Diallo atakufa kwa pressure.
Eti wanasema ana uhusiano na nchi moja ya Afrika Magharibi, labda!hivi ni kweli so raia? leteni mambo sawa. sasa sijui atakuwa mtu wa congo, rwanda, burundi au uganda. kwanini gwajima alituonjesha tu supu alafu nyama akaificha? fungukeni.
Kwani hata mkiuliza mkikaliwa kimya mtafanyaje. Mbona Bashite mlipiga kelele hamkufua dafu?Serekali ya vijisasia tu hii. Ambaye hakukuunga mkono mtie adab kwanza. Utashangaa, atakaye thubutu kwenda kumpigia magoti anaweza funguliwa chain yake. Isijekuwa ni mbinu tu za kututoa kwenye escro tusiulize zile za masandarusi nnani kazichukua
Wako wengine akina Dotto Bulendu, Nyamwihula n.kfredwaa alisoma nyakati mapema. mtu mzima angekuwa anaathirika
Post sent using JamiiForums mobile app
Mpe moyo na hiyo SMG yakoKweli watanzania yatupasa kujitambua. Naona wengi wanamuongelea Diallo kama mtu binafsi, wanasahau kuwa SMG ni group of companies ndani mwake kuna watanzania mamia wana ajira zao. Diallo hataabiki kama hao waajiriwa ambao vibarua havieleweki. Na tukumbuke anayedaiwa hiyo kodi sio Diallo bali ni SMG.
Post sent using JamiiForums mobile app