Anthony Diallo abanwa kona zote nne

Anthony Diallo abanwa kona zote nne

Msema kweli mpenzi wa Mungu

alijitolea sana kwa chama chake na pia ameajiri watanzania wengi tu na hawa watanzania wanafamilia zao zinawategemea

wangeangalia namna njema ya kutatua kuliko kumfungia maana kundi kubwa limeathirika sana, binafsi nimeathirika kukosa kipindi cha WAMBURA MTANI cha kila jumapili

nimehuzunika sana japokuwa huyu mtu sijawahi hata kukutana nae
 
Back
Top Bottom