Anthony Diallo abanwa kona zote nne

Anthony Diallo abanwa kona zote nne

Mnacho sahau kila mfanya biashara ana madeni hilo ni jambo la kawaida kabisa - Serikali yenyewe ina madeni sembuse Dk.Diallo? Kama kuna wanao mdai au masuala ya kodi sina shaka watafikia muhafaka wa jinsi ya kulipana - watapeana timeframe ya kupunguza deni na siyo kufunga makampuni/ biashara zake, Dk.Diallo alianza kufanya biashara/Makampuni/Viwanda tangu enzi za Baba wa Taifa, si mtu wa kuchukuliwa kimzaa mzaa, kama kuna tatizo walimalize kistaarabu.

Hapa naona baadhi ya members wa vyama vya upinzani wamevalia njunga suala hili wakati hawajui kinacho endelea - wanaweka mbele chuki binafsi tu, kisa? Eti kwa nini hakushirikiana na MOAT kumkandia RC wa Mkoa wa Dar - mambo ya kitoto kabisa!!

Kwanza MOAT wana mamlaka gani katika Taifa letu zaidi ya kutumika kisiasa - nani hakushuhudia maigizo yao yaliyo kuwa na lengo la kujaribu kumshinikiza JPJM amfukuze kazi Makonda wa watu, ukijaribu kutafakari hoja walizo kuwa wanatoa zote zilikuwa zinaonekana wazi wazi zimechongwa tu, wakati mwingine sisi Watanzania tunakuwa na tabia za ajabu sana.
Kama zako zilivyo za ajabu.. Nyambaaaaf
 
Wote tuipongeze TRA awamu hii ya JPM kwa kufanya kazi yao ipasavyo.
Mwananchi anayelipa kodi ni rahisi pia kudai maendeleo yake kutokana na kodi aliyolipa.

Kila mtanzania ajue wajibu wake wa sio tu kulipa kodi lakini pia kuwafichua wakwepa kodi .
JPM ameanza kwa kupambana na Tatizo la ufisadi nchini.
Waliopita walikua wanapambana na matokeo ya ufisadi.
Yani awamu zilizopita walianza kukimbizana na vifisadi vidogo na walarusha wadogo huku wakiacha mapato ya serikali yakichezewa na wakwepa kodi.
JPM ameligundua hilo na kuamua kuwanyoa kwa kipande kigumu cha chupa ya Coca Cola.

Huu sio wakati wa kupiga siasa ni wakati wa kazi.Wapinzani wajifunze hilo. Wajipange sawa sawa huku wakianza kabisa kuandaa watu watakaosimama kupambana kwa hoja uchaguzi ujao na chaguzi ndogo za madiwani. JPM sio mtu wa mchezo mchezo. Ameweza kuwa na jina kubwa kuliko CCM iliyozaliwa miaka mingi sana na kuenezwa kwa gharama kubwa sana na jasho la watanzania wakubwa kwa wadogo. Lakini ndani ya miaka mitatu JPM amekua ni zaidi ya vyama vya siasa. Huyu ni Rais ni noma. Ni habari nyingine kabisa. Ni upepo wa dhoruba kali.
Nitamuunga mkono kwa asilimia 100 kwa kupambana na wakwepa kodi na wezi wa mali za umma wanaojineemsha bila kuridhika kupitia mali za umma. Mtumishi wa umma anajenga nyumba 70 lakini bado anaiba tu. Anatutafuta nini sisi watanzania zaidi ya kumtumbua na kuchukua nyumba 60 tumwachie 10.

Post sent using JamiiForums mobile app
Hii mambo ya kuhamasishana kupongeza yananiudhi sana.
 
Na alikuwaa meneja wa kampeni za chama kwasasa akuna msaada utakufa na lako watu wanaitaji kodi ili walete maendeleo ya nchi.….!!!!

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Hii mambo ya kuhamasishana kupongeza yananiudhi sana.


Lipi jema?;
Kupongeza[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji109] [emoji109] au
Kukejeli/Kupinga?[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji114] [emoji114] [emoji114] [emoji114]

Sio lazima kupongeza; lakini ni vizuri wapinzani wasome upepo wa wananchi unasemaje? Kwa sasa ukikejeli unawaudhi zaidi wananchi.

Kuliko ukejeli ni bora ukae kimya![emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Ni bora basi Wapinzani wangeendelelea kuwachonganisha mafisadi na serikali ili wazidi kushughulikiwa kuliko kujaribu kuonyesha kuwa wanaonewa.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wamfilisi hadi nguo za ndani sawa,alijifanya rafiki wa ccm

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nashangaa asee,as long as biashara inaendelea,wangekaa wampe muda flani labda miaka 2,alipe hizo pesa.Akishaindwa ndio yafanyike mengine.Kwan jamaa anakimbia?

In this world,It doesn't matter who you are,But what you do to Survive.

watanzania wengi nimasikini mpaka wa akili TRA wanapaswa kumpa ushirikiano pia kuna kusamehewa madeni hata nchi kama Ukraine inaomba kusamehewa baadhi ya madeni hapa iko nia ovu huwez mfungia mtu biashara ukategemea aweze kukulipa ndani ya 14days kama siku zote huko nyuma alishindwa kuan muujiza gani utatokea ndani ya 14days akulipe, Kikubwa hapa watu wengi tanzania ni hohe hahe mpaka akilin, wanafurahia maanguko tu

dialo aombe kusamehewa kodi sio ajabu ipo duniani pia apewe muda tuache ushabiki wa kijinga watanzania
 
Lipi jema?;
Kupongeza[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji109] [emoji109] au
Kukejeli/Kupinga?[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji114] [emoji114] [emoji114] [emoji114]

Sio lazima kupongeza; lakini ni vizuri wapinzani wasome upepo wa wananchi unasemaje? Kwa sasa ukikejeli unawaudhi zaidi wananchi.

Kuliko ukejeli ni bora ukae kimya![emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Ni bora basi Wapinzani wangeendelelea kuwachonganisha mafisadi na serikali ili wazidi kushughulikiwa kuliko kujaribu kuonyesha kuwa wanaonewa.

Post sent using JamiiForums mobile app
Pepo la kupongeza linakuongoza sala ya toba na umpongeze shatani kwa kumiliki raha zote duniani.
 
Si amwombe BASHITE amsaidie kutafuta wafadhili akalipiwe deni? Kwani bashite ana mahusiano mazuri na wauza unga wakubwa na wakwepa kodi mahiri (nasikia hadi ardhi wamehodhi).
 
Wakati akimpigia msukuma kampeni 2015,Mlikuwa mkimsifia sana Diallo na kusema ni kada mtiifu kwa chama.Ila leo na akili zenu za kishikiwa,Mnamgeuka na kusema anakwepa kodi,Ulishawahi kujiuliza kipindi cha kampeni pia alikuwa anadaiwa kadi pia na ndio lengo la kumsupport Ngosha ili ampe ahueni akipata urais?...
Au mlikuwa mnapiga makofi tu kama majuha.

In this world,It doesn't matter who you are,But what you do to Survive.
Utawala wa Ngosha sio utawala wa mzee wa Msoga,kila kitabu na zama zake,kulipa kodi ni wajibu wa kila mtu sio sababu eti jamaa ni mjomba wako basi asilipe kodi,wewe ndie manfiki sababu hujui umuhimu wa kulipa kodi
 
hivi ni kweli so raia? leteni mambo sawa. sasa sijui atakuwa mtu wa congo, rwanda, burundi au uganda. kwanini gwajima alituonjesha tu supu alafu nyama akaificha? fungukeni.
 
Acha namba isomeke vilivyo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Serikali pia ikishughulikie kile chama kilichopora majengo yaliyojengwa na michango ya wananchi,viwanja vya michezo nk na kujimilikisha kienyeji .!!!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Huu ndio wakati sasa wa yeye "KUISHI KAMA SHETANI" usemi unaendelea kutimia, hii ni trela tuu,muvi badooo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka kipindi kile wanafunzi wa chuo wanahoma ilikua star tv yeye alikua anasema hakuwai someshwa na serikali . Sio kosa sema alikua kama anaringa "arrogant" kweli kwenye maisha kuna kupanda na kushuka namwombea mamlaka wamkate kidogo kidogo hili watu warudi kazini kimsingi kashajifunza kitu

sent by me
 
Hapa ndipo ninapokuja kumpongeza Mzee mengi huyu anajua nini anafanya dialo aliingia kwenye siasa ili apate ahueni kumbafu sana
Ngoja aisome kwanza
 
Wewe jamaa mbona unaropoka ropoka nan kakwambia dialo sio raia au umelogwa

Post sent using JamiiForums mobile app
We tatizo lako unapenda sana ushirikina ndomana unamaimani ya kulogana! Haya niambie wapi nilipomtaja mtu jina! Kiherehere na uchawi havifai chalii
 
Back
Top Bottom