Anthony Diallo abanwa kona zote nne

Anthony Diallo abanwa kona zote nne

Diallo na mdg wake Manyala walijipemdekeza sana kwa msukuma mwenzao, mpk wakamchafua Lowasa wewe. Natamani greda likavunje vunje kile kigorofa chake na arudi kwao akalime pamba tu
Kwa mujibu wa Gwajima Diallo ni wa kule kwa kina Pr.Saitoti
 
lini anaenda jela tufanye sherehe? hata ikifunguliwa nitashangaa kama kuna wateja watakaopeleka matangazo hapo,watakuwa ni wajinga. vipi Nssf alikuwa anapeleka kweli michango ?
 
Nadhani watayamaliza kwa maslahi ya pande zote mbili.!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ulipokua Mali ya asili,ulijiona mungu mtu,
kwa tuliopitia mapito yaliyohitaji suluhu yako,
ulituchinjia baharini ! Leo
sisi bila kinyongo,tunakukaribisha
ulingoni,wote tupambane,na umaskini.
huku hatuhitaji,vyeo,huku
nimpambano tu,alimradi
usimkanyage mwenzako
wala kumtovoga jicho !
Sisi tumeshajizoelea
Karibu sana,nawe utazoea tu jipe moyo,na
ukiamini ccm ni ileile !

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Serekali ya vijisasia tu hii. Ambaye hakukuunga mkono mtie adab kwanza. Utashangaa, atakaye thubutu kwenda kumpigia magoti anaweza funguliwa chain yake. Isijekuwa ni mbinu tu za kututoa kwenye escro tusiulize zile za masandarusi nnani kazichukua
 
Hivi hata Bash-T kashindwa kumsaidia?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Dialo kaajiri watanzania wangapi?

Anyway,hili ni funzo kwa wamiliki wengine wa vyombo vya habari na matajiri wa nchi hii kwa ujumla.

Mawaziri wa leo mna la kujifunza pia pamoja na wabunge mnaotunga sheria za nchi hii.
Aende kwa Bashite akachukue hela .
 
Kuanguka kwa Diallo ni mahesabu mabaya ya kibiashara, nadhani ving'amuzi vya continental vimemuangisha, havijalipa kama aliyodhania

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mbona Star TV Tz naona wanarusha matangazo kama kawaida?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Akome ndiyo waache upuuzi walipe kodi..!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wewe,Diallo na Lowassa walishawahi kuwa marafiki wewe,tena wakaanzisha community airlines,wewe hao walikuwa wanamtandao wewe.Diallo alikuja kugeuka akaingia Membe team.

Community airlines ilikua Diallo na Chenge sio lowassa
 
Kuna uzi nilisema malipo hapa hapa dunian jamaa limoja likasema eti natoa laana.... hii ndio dunia hakuna mbwembwe unalipwa hapahapa ulichokipanda
 
Aniite nije nimfanyie financial analysis ya biashara yake, na ajue nn chakufanya hili anawili upya.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Huyuu mzee alishamiliki mpaka kiwanda cha kutengenezea majiko ya umeme Sahara...sijui kakumbwa na nn? Biashara ikiamua kupiga U-turn hubaki salama.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom