Anthony Diallo abanwa kona zote nne

Anthony Diallo abanwa kona zote nne

Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza Anthony Diallo yuko kwenye nafasi mbaya kisiasa, kimaisha, kibiashara na hata kimahusiano na jamii.

Baada ya kituo chake cha matangazo cha Star Television kutiwa kufuri za nyororo na TRA kwa kuidai kampuni yake zaidi ya shilingi 4.5bn, Diallo amefikwa na balaa jingine la pili baada ya benki moja ya jijini Mwanza kumshtaki kwa kushindwa kuilipa zaidi shilingi 600m alizoiomba benki hiyo iwe inawalipa mishahara wafanyakazi wa kampuni zake.

Pigo jingine la tatu ni hatua ya aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kuanza kutroti kuiwania nafasi yake ya uwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza, nafasi ambayo kwa njia moja ilikuwa ikimkinga kidogo na bughudha ndogo ndogo za vyombo vya dola na taasisi za fedha.

Pigo jingine linalomuathiri bwana mkubwa huyu aliyewahi kuwa waziri wa wizara mbali mbali katika awamu mbili zilizopita na ambaye Rais Kikwete aliwahi kumwombea kwa Magufuli wakati wa kampeni za urais ampe upendeleo wa kibiashara katika shughuli zake, ni kitendo cha kutengwa na waliokuwa washirika wake wa vyombo vya habari MOAT kumtenga baada ya kuonekana kukiuka taratibu zao walizojiwekea.

Kwa kifupi hivi sasa Diallo kashika njia inayoelekea katika lango kubwa lililoandikwa OFISI YA MUFLISI.
Kitendo cha kukiuka maagano waliyoyafikia wenzake wa MOAT na kumpa airtime Bashite hakika kisingemuacha salama na apotelee mbali, TV na Radio Stations ziko nyingi tu na bora zaidi kuliko zake, zinatutosha

Post sent using JamiiForums mobile app
 
WAFANYABIASHARA WANAOZINGATIA TAALUMA YAO HUWA WANAKUWA NA POLITICAL CONNECTION NA SIO PILITICAL PARTICIPATION.
HUYU ALIKUWA NA PILITICAL PARTICIPATION NA AKAWA ANAENDA KINYUME NA BUSINESS ETHICS.
HILI LINAWAANGUSHA WAFANYABIASHARA WASHAMBA KWA KUTAFUTA UTAJIRI WA HARAKA LAKINI WANAISHIA KUFILISIKA.
WAFANYABIASHARA WA MAREKANI WANAPOINGIA KWENYE SIASA HUWA WANAENDA KUTAFUTA UMAARUFU.
WAFANYABIASHARA WA KIAFRIKA WANAPOINGIA KWENYE SIASA WANAENDA KUTAFUTA UTAJIRI.
 
Dk Diallo acha siasa fanya biashara tu maisha ya siasa ni full stress

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Diallo , hayo ndio mavuno ya wapanda chuki. Unakumbuka jinsi redio yako RFA na star TV zilivyotumika kudhalilisha mgombea Urais wa Ukawa.?. Kumbuka kampeni katika mji wa kigoma, jinsi mzee Makamba alivyodhalilisha yule mzee wa nywele nyeupe. Dialo, natumaini utakuwa umejifunza . Nakuombea Mungu akusaidie ili ulipe deni tuendelee kusikiliza BBC. Pole sana.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ccm wanaambiwa wapambane na hali zao; Chadema utasikia wanaonewa.
 
Dialo kaajiri watanzania wangapi?

Anyway,hili ni funzo kwa wamiliki wengine wa vyombo vya habari na matajiri wa nchi hii kwa ujumla.

Mawaziri wa leo mna la kujifunza pia pamoja na wabunge mnaotunga sheria za nchi hii.
Hiyo sentensi ya kwanza ulitaka uanze kumtetea kisa kaajiri Watanzania!

......
 
Alipe kodi tuu yaishe,ila mimi nitammisi sana mzee wa 'ANGA ZA KIMATAIFA' namkubali sana aka Samadu Hassan
 
Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza Anthony Diallo yuko kwenye nafasi mbaya kisiasa, kimaisha, kibiashara na hata kimahusiano na jamii.

Baada ya kituo chake cha matangazo cha Star Television kutiwa kufuri za nyororo na TRA kwa kuidai kampuni yake zaidi ya shilingi 4.5bn, Diallo amefikwa na balaa jingine la pili baada ya benki moja ya jijini Mwanza kumshtaki kwa kushindwa kuilipa zaidi shilingi 600m alizoiomba benki hiyo iwe inawalipa mishahara wafanyakazi wa kampuni zake.

Pigo jingine la tatu ni hatua ya aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kuanza kutroti kuiwania nafasi yake ya uwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza, nafasi ambayo kwa njia moja ilikuwa ikimkinga kidogo na bughudha ndogo ndogo za vyombo vya dola na taasisi za fedha.

Pigo jingine linalomuathiri bwana mkubwa huyu aliyewahi kuwa waziri wa wizara mbali mbali katika awamu mbili zilizopita na ambaye Rais Kikwete aliwahi kumwombea kwa Magufuli wakati wa kampeni za urais ampe upendeleo wa kibiashara katika shughuli zake, ni kitendo cha kutengwa na waliokuwa washirika wake wa vyombo vya habari MOAT kumtenga baada ya kuonekana kukiuka taratibu zao walizojiwekea.

Kwa kifupi hivi sasa Diallo kashika njia inayoelekea katika lango kubwa lililoandikwa OFISI YA MUFLISI.
Laana la kampeni za uchhaguzi 2015
 
Naimis BBC tu

Post sent using JamiiForums mobile app
Angalia kupitia U tube mkuu,utaiona Bbc Swahili

Mnacho sahau kila mfanya biashara ana madeni hilo ni jambo la kawaida kabisa - Serikali yenyewe ina madeni sembuse Dk.Diallo? Kama kuna wanao mdai au masuala ya kodi sina shaka watafikia muhafaka wa jinsi ya kulipana - watapeana timeframe ya kupunguza deni na siyo kufunga makampuni/ biashara zake, Dk.Diallo alianza kufanya biashara/Makampuni/Viwanda tangu enzi za Baba wa Taifa, si mtu wa kuchukuliwa kimzaa mzaa, kama kuna tatizo walimalize kistaarabu.

Hapa naona baadhi ya members wa vyama vya upinzani wamevalia njunga suala hili wakati hawajui kinacho endelea - wanaweka mbele chuki binafsi tu, kisa? Eti kwa nini hakushirikiana na MOAT kumkandia RC wa Mkoa wa Dar - mambo ya kitoto kabisa!!

Kwanza MOAT wana mamlaka gani katika Taifa letu zaidi ya kutumika kisiasa - nani hakushuhudia maigizo yao yaliyo kuwa na lengo la kujaribu kumshinikiza JPJM amfukuze kazi Makonda wa watu, ukijaribu kutafakari hoja walizo kuwa wanatoa zote zilikuwa zinaonekana wazi wazi zimechongwa tu, wakati mwingine sisi Watanzania tunakuwa na tabia za ajabu sana.
Komaa mkuu,komaa
 
Najifunza kwamba wanasiasa wamepewa mwanya wa kukopa ila wanautumia vibaya.
Hili linaonyesha kuwa biashara nyingi za wanasiasa ni kama mimba inayosubiri kuchoropoka kwa sababu hazina sehemu ya kushikilia pindi watakapoondoka kwenye nafasi hizo. Wao wakipata posho, mishahara, mikopo wanamwaga tu bila kujua cash flow statement inasomaje.
Capt Komba R.I.P
Eh eh hao na ndugu Jamaa na marafiki wanaitwagwa High Risk Personel kwe mabank..yaani hao kuwakopesha lazima ukubali yote
 
Anavuna alichopanda

Post sent using JamiiForums mobile app

Huyu najua ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza na Msukuma kabila moya na Sijonze!!!! Lakini kwa ville Sijonze ana chuki,wivu na mnafki ameamua kumkandamiza wa kukauya! Kwa sasa STAR TV, CONTINENTAL TV na RFA ziko mashakani!!!
Anytime Diallo anaweza tangazwa muuflisi!!!
"CCM NAMBARI ONE, WAMEIPENDA WENYEWE,WAMEICHAGUA WENYEWE, ACHA WAISOME NAMBA"
 
Ulipandalo ndilo uvunalo,
ukipanda hasara utavuna madeni!.
.
[HASHTAG]#WAHENGA[/HASHTAG]
Let Anthony Diallo count the CCM numbers!!!

Mwisho wa siku atakuwa amejifunza nini maana ya USALITI! Diallo alishirriki kwa 80% kuing'oa CHADEMA Mwanza mjinii kwa majiimbo ya Ilemera na Nyamagana. Usaliti haukopeshi!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom