Afilisiwe sio afirisiwedialo afirisiwe...
Afilisiwe sio afirisiwedialo afirisiwe...
Maskini mbavu zanguFedha za ufisadi zina jeuri ya ajabu hata sijui ndege zile ziliishia wapi.
Zingelikuwepo mpaka leo kila mhaya angelikuwa ameishapanda ndege kwa wanavyopenda sifa.
Post sent using JamiiForums mobile app
Halafu sio harafuTeh teh teh teh teh!!! Yaani wewe msukuma una vituko harafu nimekukumbuka kinoma
Sukumaland
Umesema sawa kua alikua mwana mtandao, lakini tu hajawahi kua team lowassa akahamia team membe maana tofauti zao zilikua kubwa kabla hata hiyo inayoitwa team membe haijazaliwaWewe,Diallo na Lowassa walishawahi kuwa marafiki wewe,tena wakaanzisha community airlines,wewe hao walikuwa wanamtandao wewe.Diallo alikuja kugeuka akaingia Membe team.
FUNGA ni neno moja mkuuMh.Rais wetu Magufuli hana urafiki na mkwepa kodi hata kama ni mkewe au mwanawe wa kumzaa.Asipolipa kodi funga biashara.
Amewambia TRA maneno mawili tu FUNGA.
Hata kwenye vituo vya mafuta ni maneno mawili tu "FUNGA".
Iwe ni kada wa CCM au nani asipolipa kodi FUNGA biashara .
Maneno ni mawili tu FUNGA.
Post sent using JamiiForums mobile app
Teh teh teh teh teh!! Huu uzi sijui kwa nini nilikuwa naupita!! Eti DJ kaonewa!! LolAngekuwa yule jamaa tungesikia kakimbilia mahakamani,na watu wake wangekuwa wanaimba wimbo wa kaonewa Dj,kaonewa Dj!
Hao sijui umoja wa wanahabari hawakuwa realistic. Unamfungiaje mtu forever? Soon wataanza kusalimu amri mmoja baada ya mwingine maana tukubali tukatae huwezi shindana na serikali bali unaweza shindana na Bashite. Bashite kwa sasa ana cheo hivyo anaweza kuwamaliza wasipokuwa makini. Hapa Africa bana serikali ni kila kitu.Channel Ten hivi juzi walirusha katika taarifa yao ya habari, Bashite akipokea msaada wa kompyuta 50...na walirusha pia akitoa neno la shukrani.
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbuWewe,Diallo na Lowassa walishawahi kuwa marafiki wewe,tena wakaanzisha community airlines,wewe hao walikuwa wanamtandao wewe.Diallo alikuja kugeuka akaingia Membe team.
FUNGA ni neno moja tu
Post sent using JamiiForums mobile app
Ni kweli Mkuu. BOKO. Nilikuwa natunza heshima kwa JOHN wa Simba alietoka Azam.Sisi wa MSANGA CHOLE na MANEROMANGO tunaitaga BOKO
Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
Jicho lako liwe limeona sahihi!Naona edo anapiga push up kununua sahara media....ngoja siku 14 ziishe
Post sent using JamiiForums mobile app
Sawa mama dialoWatu wanamjadili Diallo kwa kumuona magazeti.Diallo ni habari nyingine kabisa atapeta tu
Hata mwenyekiti wao halipi kodi.Siyo kweli, watanzania tunapendana ila kuna watu walifanya CCM ni chaka la wakwepa kodi. Kwa nini wengine walipe halafu CCM wasilipe? 4.5bn unaona ndogo?Kila siku muuza mchicha anakimbizana na mgambo wajiji alipe kodi. Sizonje hataki ujinga .