Anthony Diallo abanwa kona zote nne

Anthony Diallo abanwa kona zote nne

Ndo wengne wajfunze...liendalo pwani hurudi pwani..atulie ajutie..
 
Biashara za ubabaishaji na kujiwekea kinga kwenye tawala ni uzuzu usio kifani, mwangalie Manji naye, anaelekea huko huko..
 
Kulipa kodi ni wajibu hata kama umeajiri watanzania wote. No double standards when it comes to business

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nashauri Mbowe au CDM ijipange iinunue Sahara Media
Acha utani, kaofisi tu ka Chademakwanza kako vile! Mbowe naye kutwa kufuatiliwa kutokulipa kodi, madawa, biashara kwenye vyanzo vya maji kama sio kujilipisha maposho ya nguvu!
Hawa ndio wanunue Sahara Media?! Kichekesho...Labda mumuombe Lowassa, ila tatizo alishakamuliwa vya kutosha apate nafasi ya kugombea, na nashangaa wana Chademakwanza hawaulizi zile hela zimeishia wapi?!
 
Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza Anthony Diallo yuko kwenye nafasi mbaya kisiasa, kimaisha, kibiashara na hata kimahusiano na jamii.

Baada ya kituo chake cha matangazo cha Star Television kutiwa kufuri za nyororo na TRA kwa kuidai kampuni yake zaidi ya shilingi 4.5bn, Diallo amefikwa na balaa jingine la pili baada ya benki moja ya jijini Mwanza kumshtaki kwa kushindwa kuilipa zaidi shilingi 600m alizoiomba benki hiyo iwe inawalipa mishahara wafanyakazi wa kampuni zake.

Pigo jingine la tatu ni hatua ya aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kuanza kutroti kuiwania nafasi yake ya uwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza, nafasi ambayo kwa njia moja ilikuwa ikimkinga kidogo na bughudha ndogo ndogo za vyombo vya dola na taasisi za fedha.

Pigo jingine linalomuathiri bwana mkubwa huyu aliyewahi kuwa waziri wa wizara mbali mbali katika awamu mbili zilizopita na ambaye Rais Kikwete aliwahi kumwombea kwa Magufuli wakati wa kampeni za urais ampe upendeleo wa kibiashara katika shughuli zake, ni kitendo cha kutengwa na waliokuwa washirika wake wa vyombo vya habari MOAT kumtenga baada ya kuonekana kukiuka taratibu zao walizojiwekea.

Kwa kifupi hivi sasa Diallo kashika njia inayoelekea katika lango kubwa lililoandikwa OFISI YA MUFLISI.
Atajinyonga?
 
Sasa FUNGA ni maneno mawili??

Shame...sjawahi elewa lumumba huwa mnatumiaje akili zenu
 
ACHA WAISOME NAMBA EHEEEEEE
.......WAJINGA WALE


Post sent using JamiiForums mobile app
Haha! Mhenga kutoka chattle
Ama hakika umetimia ule msemo WA mhenga mmoja kutoka chattle kuwa "matajiri wataishi kama mashetani" ukitaka kumuua nyani usimwangalie usoni
Diallo vuna ulichopanda 2015


Post sent using JamiiForums mobile app
 
Diallo alikuwaga team Lowassa kabla hajahamia team Membe,lazima akiwa Team Lowasa alifanyaga figisu kubwa mpaka naona hata favor hafanyiwi tena.JK njoo umuokoe Diallo atakufa kwa pressure.
Naona yaliyopelekea kifo cha kapt komba yakijirudia tena

from Katesh using Siemens C55
 
Lazima akili zitamrudia tu huyu diallo
Zambi ya usaliti ni mbaya sana, aliwasaliti wenzie kuhusiana na ishu ya bashite... Leo yamemrudia, safi sanaaa

from Katesh using Siemens C55
 
Channel Ten hivi juzi walirusha katika taarifa yao ya habari, Bashite akipokea msaada wa kompyuta 50...na walirusha pia akitoa neno la shukrani.
 
Je before that ? Kumbuka JK na Lowassa walishawahi kuwa friends, Diallo na Lowassa pia walishawahi kuwa friends
Hao jamaa hawakuwahi kuwa marafiki ila waliunganishwa na mtandao kwa maslahi binafsi,kumbuka kulikuwa na maadui wakubwa ndani ya mtandao km Sitta vs Prof Kapuya!
 
Safi sana mwache abananishwe kwenye kona ya kitanda watu wale zote.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Diallo alikuwaga team Lowassa kabla hajahamia team Membe,lazima akiwa Team Lowasa alifanyaga figisu kubwa mpaka naona hata favor hafanyiwi tena.JK njoo umuokoe Diallo atakufa kwa pressure.
Teh teh teh teh teh!!! Yaani wewe msukuma una vituko halafu nimekukumbuka kinoma

Sukumaland
 
Back
Top Bottom