Anthony Diallo abanwa kona zote nne

Anthony Diallo abanwa kona zote nne

Diallo alikuwaga team Lowassa kabla hajahamia team Membe,lazima akiwa Team Lowasa alifanyaga figisu kubwa mpaka naona hata favor hafanyiwi tena.JK njoo umuokoe Diallo atakufa kwa pressure.
Diallo hajawahi kupatana na Lowassa maisha yake yote. I know them well. Tangu akiwa Naibu waziri chini ya Lowassa akiwa maji na baadae waliposuguana kwenye maliasili alipojaribu kumtimua ukurugenzi wa wanyamapori bwana Severe mkwe wa Lowassa na Severe alimwapia Diallo kuwa angeondoka yeye maliasili na kweli aling'olewa.

Ugomvi wa Diallo na Lowassa ni wa siku nyingi ila Diallo alikosea sana kumwingiza Lowassa ktk biashara zake.... chuki za Lowassa hakupaswa kuziingiza kwenye biashara kama media matokeo yake baada ya 2015 kampuni zake zimepoteza mvuto sana!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wewe,Diallo na Lowassa walishawahi kuwa marafiki wewe,tena wakaanzisha community airlines,wewe hao walikuwa wanamtandao wewe.Diallo alikuja kugeuka akaingia Membe team.
 
Kweli tupu Lusungo.
 
Acha aisome namba kwani alizifanya media zake kama jukwaa la chama cha kijani had I zikakosa credibility. Na ndio sababu ya kushuka kibiashara. Wakati wa uchaguzi star TV ilikuwa na mlengo TBC bila kutafakali kuwa TBC wanaendeshwa na ruzuku, hata wasipofanya biashara watasurvive . Let him reap what sowed.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wewe,Diallo na Lowassa walishawahi kuwa marafiki wewe,tena wakaanzisha community airlines,wewe hao walikuwa wanamtandao wewe.Diallo alikuja kugeuka akaingia Membe team.
Diallo hajawahi kuwa rafiki wa Lowassa.... na si kila aliyekua kwenye mtandao basi 100% waliiva na Lowassa....

Hayo ya community airlines ni stori ndefu sana ila kiufupi Diallo na Lowassa hawajawahi pikika chungu kimoja.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mh.Rais wetu Magufuli hana urafiki na mkwepa kodi hata kama ni mkewe au mwanawe wa kumzaa.Asipolipa kodi funga biashara.
Amewambia TRA maneno mawili tu FUNGA.

Hata kwenye vituo vya mafuta ni maneno mawili tu "FUNGA".

Iwe ni kada wa CCM au nani asipolipa kodi FUNGA biashara .
Maneno ni mawili tu FUNGA.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sasa hivi ajue presha, kisukari au ugonjwa wa moyo utagonga hodi......maana najua vidonda vya tumbo tayari anavyo.

Ccm ni ile ile

Post sent using JamiiForums mobile app
Vipo tayari vinakagua njia ya kuingilia.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mh.Rais wetu Magufuli hana urafiki na mkwepa kodi hata kama ni mkewe au mwanawe wa kumzaa.Asipolipa kodi funga biashara.
Amewambia TRA maneno mawili tu FUNGA.

Hata kwenye vituo vya mafuta ni maneno mawili tu "FUNGA".

Iwe ni kada wa CCM au nani asipolipa kodi FUNGA biashara .
Maneno ni mawili tu FUNGA.

Post sent using JamiiForums mobile app
FUNGA ni neno moja tu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Diallo alikuwaga team Lowassa kabla hajahamia team Membe,lazima akiwa Team Lowasa alifanyaga figisu kubwa mpaka naona hata favor hafanyiwi tena.JK njoo umuokoe Diallo atakufa kwa pressure.
JK mwenyewe anahemea pua kama swala aliyekoswa koswa na mbwa mwitu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Dialo kaajiri watanzania wangapi?

Anyway,hili ni funzo kwa wamiliki wengine wa vyombo vya habari na matajiri wa nchi hii kwa ujumla.

Mawaziri wa leo mna la kujifunza pia pamoja na wabunge mnaotunga sheria za nchi hii.
Angekuwa yule jamaa tungesikia kakimbilia mahakamani,na watu wake wangekuwa wanaimba wimbo wa kaonewa Dj,kaonewa Dj!
 
Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza Anthony Diallo yuko kwenye nafasi mbaya kisiasa, kimaisha, kibiashara na hata kimahusiano na jamii.

Baada ya kituo chake cha matangazo cha Star Television kutiwa kufuri za nyororo na TRA kwa kuidai kampuni yake zaidi ya shilingi 4.5bn, Diallo amefikwa na balaa jingine la pili baada ya benki moja ya jijini Mwanza kumshtaki kwa kushindwa kuilipa zaidi shilingi 600m alizoiomba benki hiyo iwe inawalipa mishahara wafanyakazi wa kampuni zake.

Pigo jingine la tatu ni hatua ya aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kuanza kutroti kuiwania nafasi yake ya uwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza, nafasi ambayo kwa njia moja ilikuwa ikimkinga kidogo na bughudha ndogo ndogo za vyombo vya dola na taasisi za fedha.

Pigo jingine linalomuathiri bwana mkubwa huyu aliyewahi kuwa waziri wa wizara mbali mbali katika awamu mbili zilizopita na ambaye Rais Kikwete aliwahi kumwombea kwa Magufuli wakati wa kampeni za urais ampe upendeleo wa kibiashara katika shughuli zake, ni kitendo cha kutengwa na waliokuwa washirika wake wa vyombo vya habari MOAT kumtenga baada ya kuonekana kukiuka taratibu zao walizojiwekea.

Kwa kifupi hivi sasa Diallo kashika njia inayoelekea katika lango kubwa lililoandikwa OFISI YA MUFLISI.

Si vibaya kuangalia ugomvi wa ndugu lakini ushabiki ndiyo umetufikisha hapa Watanzania...
 
Back
Top Bottom