Anthony Diallo abanwa kona zote nne

Anthony Diallo abanwa kona zote nne

Diallo na mdg wake Manyala walijipemdekeza sana kwa msukuma mwenzao, mpk wakamchafua Lowasa wewe. Natamani greda likavunje vunje kile kigorofa chake na arudi kwao akalime pamba tu
Mkulu sio msukuma jamani.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
hahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh sasa mnam pressurize mpaka afe hizo 4bl mtazipata ? badala mumuambie afanye kazi usiku na mchana arudishe pesa mnaleta kukomoana kwa hali hii hatujengi maze tunabomoa acheni ushabiki wakijinga watanzania wangapi wanakuwa wamepoteza ajira kwa ujinga huu wa kufungiwa biashara kisa kodi kwani jamaa anahama wakae wayamalize walipane pole pole, watanzania wengi ni losers ndio maana mnashabikia ujinga mnaona sawa tu
Nashangaa asee,as long as biashara inaendelea,wangekaa wampe muda flani labda miaka 2,alipe hizo pesa.Akishaindwa ndio yafanyike mengine.Kwan jamaa anakimbia?

In this world,It doesn't matter who you are,But what you do to Survive.
 
Shida kubwa ipo kwa hao watumishi waliokuwa wanafanya kazi hapo kwa muda mrefu... Kwa umakini zaid Dialo hana tatizo "kiivyo".....
Kama atatokea mtu kuinunua anaweza akayanunua na madeni halafu kituo akapewa karibu na bure, ikitokea wafanyakazi watabakia na kazi zao,
 
Uwongo wangu umesaidia hili nalo kujulikana .
Rais alikua hana habar nalo. Kama ni kweli kuwa CCM hawalipi kodi kwenye majengo nadhani ni woga wa TRA wenyewe na sio agizo la Rais.

Post sent using JamiiForums mobile app
Kwa iyo kwa woga wa TRA ndo wakapanda walipwe 40-50%?.Kwa ninj wasipange 60% au zaidi?...Amri huwa zinajulikana tu.Mkuu hiki ni kikombe chake,hawezi kukiepuka.

In this world,It doesn't matter who you are,But what you do to Survive.
 
Nashangaa asee,as long as biashara inaendelea,wangekaa wampe muda flani labda miaka 2,alipe hizo pesa.Akishaindwa ndio yafanyike mengine.Kwan jamaa anakimbia?

In this world,It doesn't matter who you are,But what you do to Survive.
Maneno ni mawili tu KA halafu TA, hata kama ni ikulu!
 
Maneno ni mawili tu KA halafu TA, hata kama ni ikulu!
Jaribu na kutumia akili zako mda mwingine.Usikubali kushikiwa akili na ccm kila wakati.

In this world,It doesn't matter who you are,But what you do to Survive.
 
Maisha ni changamoto leo kwako kesho kwa mwingine
 
Katika hili tujue kuwa kampuni au biashara inapokufa haimuathiri mmiliki tu bali pia wafanyakazi na wategemezi wao, watoa huduma mbali mbali, wafanyabiashara wengine mfano kama una duka ambapo mmoja wa wafanyakazi wa kampuni husika amekosa kazi maana yake na wewe umepoteza wateja ambao ni familia nzima. Ukiendelea mlolongo ni mrefu sana

Post sent using JamiiForums mobile app
Wafanyakazi mia ngapii? Na hiyo 4.5b ingesaidiaje watanzania wote? Ndio wafanyakazi wataathirika lkn sheria ya kodi iko pale pale na hata waumie wachache lkn ya kaisari yaende kwa kaisari


Post sent using JamiiForums mobile app
 
Akome, mpuuzi kabisa huyu. Afilisiwe tu maana hamna namna nyingine tena. Alivyoitangaza CCM wakati wa kampeni kupitia vyombo vyake utadhani alikuwa kapewa tenda, Kumbe alikuwa anajipendekeza ili asamehewe kodi za TRA. Dialo umekwisha!!!!!!!
Sisi wasukuma hatuko wajinga kiasi cha Dialo!!! Na tutaanza kukufuatilia asili yako!!!! Ikibidi apelekwe jela huyu, maana nasikia hata michango ya watumishi wake NSSF alikuwa hapeleki. Afungwe tu, kama Lugemarila yuko ndani yeye ni nani asiionje jela!!!!
 
Afilisiwe kbs, huwezi kuwa media binafsi then unafanya kazi kishabiki kama vile
 
Safi sana.
Na apigwe tu, tumemchoka sana.
Hata mimi ninamdai Diallo. Na asiponilipa soon nitapachimbisha.
 
Ukiajiri ndo usilipe kodi?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
hahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh sasa mnam pressurize mpaka afe hizo 4bl mtazipata ? badala mumuambie afanye kazi usiku na mchana arudishe pesa mnaleta kukomoana kwa hali hii hatujengi maze tunabomoa acheni ushabiki wakijinga watanzania wangapi wanakuwa wamepoteza ajira kwa ujinga huu wa kufungiwa biashara kisa kodi kwani jamaa anahama wakae wayamalize walipane pole pole, watanzania wengi ni losers ndio maana mnashabikia ujinga mnaona sawa tu
Kodi ya aina gani ya kulipwa pole pole na muda wake ukiwa umepita?? ALIPE KODI FULL STOP..

Walizoea kodi ilipwe tu na wafanyakazi wa umma ila wafanya biashara hakuna.
 
Diallo na Lowassa hawakuwahi kupikika chungu kimoja,kumbuka alishangilia waziwazi pale EL alipopata "ajali ya kisiasa" kwani inafahamika wazi kuwa Diallo alihamishwa toka Wizara ya Maliasili kwa shinikizo la EL
Je before that ? Kumbuka JK na Lowassa walishawahi kuwa friends, Diallo na Lowassa pia walishawahi kuwa friends
 
Wote tuipongeze TRA awamu hii ya JPM kwa kufanya kazi yao ipasavyo.
Mwananchi anayelipa kodi ni rahisi pia kudai maendeleo yake kutokana na kodi aliyolipa.

Kila mtanzania ajue wajibu wake wa sio tu kulipa kodi lakini pia kuwafichua wakwepa kodi .
JPM ameanza kwa kupambana na Tatizo la ufisadi nchini.
Waliopita walikua wanapambana na matokeo ya ufisadi.
Yani awamu zilizopita walianza kukimbizana na vifisadi vidogo na walarusha wadogo huku wakiacha mapato ya serikali yakichezewa na wakwepa kodi.
JPM ameligundua hilo na kuamua kuwanyoa kwa kipande kigumu cha chupa ya Coca Cola.

Huu sio wakati wa kupiga siasa ni wakati wa kazi.Wapinzani wajifunze hilo. Wajipange sawa sawa huku wakianza kabisa kuandaa watu watakaosimama kupambana kwa hoja uchaguzi ujao na chaguzi ndogo za madiwani. JPM sio mtu wa mchezo mchezo. Ameweza kuwa na jina kubwa kuliko CCM iliyozaliwa miaka mingi sana na kuenezwa kwa gharama kubwa sana na jasho la watanzania wakubwa kwa wadogo. Lakini ndani ya miaka mitatu JPM amekua ni zaidi ya vyama vya siasa. Huyu ni Rais ni noma. Ni habari nyingine kabisa. Ni upepo wa dhoruba kali.
Nitamuunga mkono kwa asilimia 100 kwa kupambana na wakwepa kodi na wezi wa mali za umma wanaojineemsha bila kuridhika kupitia mali za umma. Mtumishi wa umma anajenga nyumba 70 lakini bado anaiba tu. Anatutafuta nini sisi watanzania zaidi ya kumtumbua na kuchukua nyumba 60 tumwachie 10.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hawa ndo waliosababisha watu wakamuliwe sana kodi. Acha wafilisiwe wapate uchungu wa walipakodi japo haufiki hata nusu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
ILA KIKUBWA HAPA NI NCHI ISIENDESHWE KWA VISA NA VISASI.

INAVYOONEKANA LABDA HUYU BWANA ALIKUWA AMEAJIRI WATANZANIA WENZETU WENGI....... HAWA WATANZANIA WANNAENDA KUISHI VIPI SASA NA FAMILIA ZAO????????

NCHI MATAJIRI HUWA ZINAWA- BAIL OUT WAWEKEZAJI WAO WA NDANI WAKUBWA..... IFIKE MAHALA TUIGE MFUMO HUO.

YAANI HAPA PENGINE SERIKALI INGEINGILIA KATI NA KUMKWAMUA DIALLO.
Nakubaliana na wewe, TRA ikae naye wapange mkakati wa namna ya kulipa na apewe muda wa kutekeleza.
 
Back
Top Bottom