Anthony Diallo abanwa kona zote nne

Anthony Diallo abanwa kona zote nne

Diallo na mdg wake Manyala walijipemdekeza sana kwa msukuma mwenzao, mpk wakamchafua Lowasa wewe. Natamani greda likavunje vunje kile kigorofa chake na arudi kwao akalime pamba tu
 
Watanzania bana! Kila aliepost huu uzi sidhani kama Ana uhakika na habari hii. Acheni ushabiki fanyeni utafiti kwanza

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Utawala wa huyu jamaa haukuwahi kumuacha mtu salama.....
Teh teh pole sana blaza diallo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Watu wanamjadili Diallo kwa kumuona magazeti.Diallo ni habari nyingine kabisa atapeta tu

Mm ni mfanyakazi wake, njoo hapa nje ya geti utanikuta tunapiga gahawa huku magreda ya Nyanza road yanatengeneza brbr
 
Kama alifanya dhuluma yoyote huko nyima basi hayo ni malipo..ila kama hakuwahi fanya dhuluma yoyote basi mungu amrehem
 
Diallo alikuwaga team Lowassa kabla hajahamia team Membe,lazima akiwa Team Lowasa alifanyaga figisu kubwa mpaka naona hata favor hafanyiwi tena.JK njoo umuokoe Diallo atakufa kwa pressure.
Mnaanza kuhamisha magoli taratibu. Unakumbuka wakati Bashite analazimisha apewe air time startv mlisema nini?

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Kwahiyo snafanyiwa figisu,au yeye mwenyewe kashindwa biashara?
Kutumia vyombo vyake kuwasaidia tasisi ambayo Mwenyezi Mungu ameshawang'anya kibali hapa duniani hapo hawezi baki salama. Machukizo kwa Mungu majibu yote utayapata hapahapa dunia tukumbuke vyombo vilitumika kuwakebehi waliopewa kibali mpaka mtu mzima Yaani anaambiwa anajinyea kupitia hayo utapona wapi. Musa alitumika kuwavusha Wanaizrael kwenda ktk nchi ya ahadi kwani maadui wa Musa walivuna lipi la maana

Post sent using JamiiForums mobile app
 
ILA KIKUBWA HAPA NI NCHI ISIENDESHWE KWA VISA NA VISASI.

INAVYOONEKANA LABDA HUYU BWANA ALIKUWA AMEAJIRI WATANZANIA WENZETU WENGI....... HAWA WATANZANIA WANNAENDA KUISHI VIPI SASA NA FAMILIA ZAO????????

NCHI MATAJIRI HUWA ZINAWA- BAIL OUT WAWEKEZAJI WAO WA NDANI WAKUBWA..... IFIKE MAHALA TUIGE MFUMO HUO.

YAANI HAPA PENGINE SERIKALI INGEINGILIA KATI NA KUMKWAMUA DIALLO.
 
Mnacho sahau kila mfanya biashara ana madeni hilo ni jambo la kawaida kabisa - Serikali yenyewe ina madeni sembuse Dk.Diallo? Kama kuna wanao mdai au masuala ya kodi sina shaka watafikia muhafaka wa jinsi ya kulipana - watapeana timeframe ya kupunguza deni na siyo kufunga makampuni/ biashara zake, Dk.Diallo alianza kufanya biashara/Makampuni/Viwanda tangu enzi za Baba wa Taifa, si mtu wa kuchukuliwa kimzaa mzaa, kama kuna tatizo walimalize kistaarabu.

Hapa naona baadhi ya members wa vyama vya upinzani wamevalia njunga suala hili wakati hawajui kinacho endelea - wanaweka mbele chuki binafsi tu, kisa? Eti kwa nini hakushirikiana na MOAT kumkandia RC wa Mkoa wa Dar - mambo ya kitoto kabisa!!

Kwanza MOAT wana mamlaka gani katika Taifa letu zaidi ya kutumika kisiasa - nani hakushuhudia maigizo yao yaliyo kuwa na lengo la kujaribu kumshinikiza JPJM amfukuze kazi Makonda wa watu, ukijaribu kutafakari hoja walizo kuwa wanatoa zote zilikuwa zinaonekana wazi wazi zimechongwa tu, wakati mwingine sisi Watanzania tunakuwa na tabia za ajabu sana.
Povu zito la kutetea uhalifu
 
"Nitawashughulikia kweli kweli." - Rais JPM
"Walidhani nitakua part of them.Never." - Rais JPM
"Iwe CCM,CUF,CHADEMA n.k. kwangu ni mkong'oto tu." - Rais JPM
"Ndugu zangu,Watanzania wenzangu,tujifunze kulipa kodi." - Rais JPM
"Bora nisiwe Rais kuliko kuuacha uozo huu.Huo ndio uelekeo wangu.Na sitaubadilisha." - Rais JPM
"(Wakwepa kodi,mafisadi,wapiga dili) No one will survive." - Rais JPM.
Wale wakwepa kodi wakubwa,wapiga dili,wafanyabiashara walanguzi,watendaji wazembe na warasimu n.k. wasiosoma alama za nyakati,warejee hizo nukuu hapo juu.Waache mazoea.Nyakati zimebadilika.Wanaodhani JPM ni kama yule asiyejua kwa nini Tz ni maskini au kama yule aliyejiuzia mgodi wa Kiwira nimpe pole.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Diallo hajawahi kuwa rafiki wa Lowassa.... na si kila aliyekua kwenye mtandao basi 100% waliiva na Lowassa....

Hayo ya community airlines ni stori ndefu sana ila kiufupi Diallo na Lowassa hawajawahi pikika chungu kimoja.

Post sent using JamiiForums mobile app
Hii ndio fact mengine ni mipasho tu. Lowasa never associate himself with Diallo. Diallo is an idiot over used by JK region akidhani ata last forever, akawa anakipigia upatu CCM akijua tax holiday and other favour will be his paradise.

Diallo alikua halipi kodi na nilazima alipe kodi yetu. Hizo favour alizokua anapewa na utawala ule au kuombewa apewe mbele ya halaiki ya kampeni sio katika UTAWALA HUU............"am not among them" Nasisitiza yoyote aliyetuibia, aliyekwepa kodi au kufanya figisufigisu ya aina yoyote lazima zimtoke kupitia tundu lolote alilonalo. Over

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Katika hili tujue kuwa kampuni au biashara inapokufa haimuathiri mmiliki tu bali pia wafanyakazi na wategemezi wao, watoa huduma mbali mbali, wafanyabiashara wengine mfano kama una duka ambapo mmoja wa wafanyakazi wa kampuni husika amekosa kazi maana yake na wewe umepoteza wateja ambao ni familia nzima. Ukiendelea mlolongo ni mrefu sana

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wajinga sana,Yani media ile kipindi cha kampeni daaa Nikikumbuka jinsi walivyokuwa wanaonesha maccm tu.Asante Mungu.

Tuondolee liccm ee Mungu,

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Angekuwa yule jamaa tungesikia kakimbilia mahakamani,na watu wake wangekuwa wanaimba wimbo wa kaonewa Dj,kaonewa Dj!
Wakati akimpigia msukuma kampeni 2015,Mlikuwa mkimsifia sana Diallo na kusema ni kada mtiifu kwa chama.Ila leo na akili zenu za kishikiwa,Mnamgeuka na kusema anakwepa kodi,Ulishawahi kujiuliza kipindi cha kampeni pia alikuwa anadaiwa kadi pia na ndio lengo la kumsupport Ngosha ili ampe ahueni akipata urais?...
Au mlikuwa mnapiga makofi tu kama majuha.

In this world,It doesn't matter who you are,But what you do to Survive.
 
Back
Top Bottom