Anthony Diallo abanwa kona zote nne

Anthony Diallo abanwa kona zote nne

Naona edo anapiga push up kununua sahara media....ngoja siku 14 ziishe

Post sent using JamiiForums mobile app
Afu kwel yule mmasai anaweza kununua pesa ipo pale wale sahara mitambo yao ina nguvu balaa

Lakin si nasikia na yeye anawa dai ccm pesa za kipind cha kampeni alikuwa anarusha mubashara mikutano ya ccm

Ila ccm wajiangalie sana siku za mbelen huko watapata ugumu sana kuja kupewa airtime na hiv vyombo vya habari rejea ya shigongo, sasa dialo wao wanatumia tu kulipia hawataki

Wengine mjifunze biashara isimame kama biashara ukichanganya ukada na biashara lazima ile kwako naona dialo analia tu

Ila mwisho nasema alipe tu kodi
 
hahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh sasa mnam pressurize mpaka afe hizo 4bl mtazipata ? badala mumuambie afanye kazi usiku na mchana arudishe pesa mnaleta kukomoana kwa hali hii hatujengi maze tunabomoa acheni ushabiki wakijinga watanzania wangapi wanakuwa wamepoteza ajira kwa ujinga huu wa kufungiwa biashara kisa kodi kwani jamaa anahama wakae wayamalize walipane pole pole, watanzania wengi ni losers ndio maana mnashabikia ujinga mnaona sawa tu
 
Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza Anthony Diallo yuko kwenye nafasi mbaya kisiasa, kimaisha, kibiashara na hata

Kwa kifupi hivi sasa Diallo kashika njia inayoelekea katika lango kubwa lililoandikwa OFISI YA MUFLISI.

Mnacho sahau kila mfanya biashara ana madeni hilo ni jambo la kawaida kabisa - Serikali yenyewe ina madeni sembuse Dk.Diallo? Kama kuna wanao mdai au masuala ya kodi sina shaka watafikia muhafaka wa jinsi ya kulipana - watapeana timeframe ya kupunguza deni na siyo kufunga makampuni/ biashara zake, Dk.Diallo alianza kufanya biashara/Makampuni/Viwanda tangu enzi za Baba wa Taifa, si mtu wa kuchukuliwa kimzaa mzaa, kama kuna tatizo walimalize kistaarabu.

Hapa naona baadhi ya members wa vyama vya upinzani wamevalia njunga suala hili wakati hawajui kinacho endelea - wanaweka mbele chuki binafsi tu, kisa? Eti kwa nini hakushirikiana na MOAT kumkandia RC wa Mkoa wa Dar - mambo ya kitoto kabisa!!

Kwanza MOAT wana mamlaka gani katika Taifa letu zaidi ya kutumika kisiasa - nani hakushuhudia maigizo yao yaliyo kuwa na lengo la kujaribu kumshinikiza JPJM amfukuze kazi Makonda wa watu, ukijaribu kutafakari hoja walizo kuwa wanatoa zote zilikuwa zinaonekana wazi wazi zimechongwa tu, wakati mwingine sisi Watanzania tunakuwa na tabia za ajabu sana.
 
Sasa hivi ajue presha, kisukari au ugonjwa wa moyo utagonga hodi......maana najua vidonda vya tumbo tayari anavyo.

Ccm ni ile ile

Post sent using JamiiForums mobile app

Wahaya tuna msemo: "OLWO SHULA MKASHO LWIJA NANYOKO" kwa kiswahili lina maana ya "UKIMUOMBA MUNGU AFE MAMA YAKO WA KAMBO BADALA YAKE ANAKUFA MAMA YAKO MZAZI" kwa kifupi unashauriwa hata siku moja usiwatakie/ombea wanadamu wenzako mambo mabaya mfano magojwa au kifo.
 
Mh.Rais wetu Magufuli hana urafiki na mkwepa kodi hata kama ni mkewe au mwanawe wa kumzaa.Asipolipa kodi funga biashara.
Amewambia TRA maneno mawili tu FUNGA.

Hata kwenye vituo vya mafuta ni maneno mawili tu "FUNGA".

Iwe ni kada wa CCM au nani asipolipa kodi FUNGA biashara .
Maneno ni mawili tu FUNGA.

Post sent using JamiiForums mobile app
Acha uongo, unadanganya umma kwa maslahi ya nani . kuna kodi ya majengo ambayo ccm wanatakiwa kulipia majengo yao, fuatilia uone kama ccm wanalipia majengo yao yaliyopo nchini kwa 100% . yeye ndiye kaagiza tra majengo ya ccm yaliyopo mikoani walipie 40%- 50%. tu. Ina maana kama ccm mkoa majengo yao inabidi walipe milioni 80, wanalipa milioni 40 . ,kadanganye wajinga wenzako huko lumumba
 
Hivi kweli ndo tumefika hapo??? Huyu bwana na yule mtukufu si walikuwa baraza lile lile la mawaziri!!! au ndo ilimuondoa Mrema(naogopa kumtaja) alikosa "uzalendo" sio?
 
Acha uongo, unadanganya umma kwa maslahi ya nani . kuna kodi ya majengo ambayo ccm wanatakiwa kulipia majengo yao, fuatilia uone kama ccm wanalipia majengo yao yaliyopo nchini kwa 100% . yeye ndiye kaagiza tra majengo ya ccm yaliyopo mikoani walipie 40%- 50%. tu. Ina maana kama ccm mkoa majengo yao inabidi walipe milioni 80, wanalipa milioni 40 . ,kadanganye wajinga wenzako huko lumumba
Uwongo wangu umesaidia hili nalo kujulikana .
Rais alikua hana habar nalo. Kama ni kweli kuwa CCM hawalipi kodi kwenye majengo nadhani ni woga wa TRA wenyewe na sio agizo la Rais.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
FUNGA ni neno moja tu

Post sent using JamiiForums mobile app
Umeelewa lakini.
Siasa za wapinzani wanakimbizania na matamshishi badala ya hoja.

Hata hivyo nakushukuru Mwalimu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Diallo alikuwaga team Lowassa kabla hajahamia team Membe,lazima akiwa Team Lowasa alifanyaga figisu kubwa mpaka naona hata favor hafanyiwi tena.JK njoo umuokoe Diallo atakufa kwa pressure.
Diallo na Lowassa hawakuwahi kupikika chungu kimoja,kumbuka alishangilia waziwazi pale EL alipopata "ajali ya kisiasa" kwani inafahamika wazi kuwa Diallo alihamishwa toka Wizara ya Maliasili kwa shinikizo la EL
 
Acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kodi. Walichofanya TRA Ni kujitenga na siasa na kufanya kazi waliyosomea, wanatakiwa kupongezwa na sio kubezwa
Lakini unawapongezaje wakati wanafanya kazi bila kutumia akili? Taasisi kubwa Kama ile inao watumishi wengi sana ambao ajira Yao ndio maisha Yao. Wanashindwa nini hao TRA kudhibiti mapato ya Sahara na kukata sehemu ya deni Lao kidogo kidogo kulifidia huku maisha ya Watanzania waliopo pale yakiendelea?
Sikatai Diallo ali mess up kuchanganya siasa zake na kituo cha habari na wengi walichukizwa na jambo hilo, lakini hakuna Sababu za kuingiza chuki ya kuumiza maisha. Mambo ya chuki na visasi waachiwe ccm ambao wameshaonyesha kuwa hiyo ndio sera Yao hasa awamu hii.
SAHARA MEDIA kwa uwekezaji ilio nao ingejisajili DSE na kuuza share zake ili kuchanganya wamiliki na taaluma mpya ingeingia hasa katika management tofauti na sasa ambapo ni yeye mwenyewe na undugu ndio umeshika kasi. Au jingine Diallo aachane kabisa na siasa afanye biashara tuu.
 
hahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh sasa mnam pressurize mpaka afe hizo 4bl mtazipata ? badala mumuambie afanye kazi usiku na mchana arudishe pesa mnaleta kukomoana kwa hali hii hatujengi maze tunabomoa acheni ushabiki wakijinga watanzania wangapi wanakuwa wamepoteza ajira kwa ujinga huu wa kufungiwa biashara kisa kodi kwani jamaa anahama wakae wayamalize walipane pole pole, watanzania wengi ni losers ndio maana mnashabikia ujinga mnaona sawa tu
Mwisho wa kujitenga na Watanzania aliowaona hawana akili na kuamua kutumika kama toilet paper ndo majibu yake hayo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mnacho sahau kila mfanya biashara ana madeni hilo ni jambo la kawaida kabisa - Serikali yenyewe ina madeni sembuse Dk.Diallo? Kama kuna wanao mdai au masuala ya kodi sina shaka watafikia muhafaka wa jinsi ya kulipana - watapeana timeframe ya kupunguza deni na siyo kufunga makampuni/ biashara zake, Dk.Diallo alianza kufanya biashara/Makampuni/Viwanda tangu enzi za Baba wa Taifa, si mtu wa kuchukuliwa kimzaa mzaa, kama kuna tatizo walimalize kistaarabu.

Hapa naona baadhi ya members wa vyama vya upinzani wamevalia njunga suala hili wakati hawajui kinacho endelea - wanaweka mbele chuki binafsi tu, kisa? Eti kwa nini hakushirikiana na MOAT kumkandia RC wa Mkoa wa Dar - mambo ya kitoto kabisa!!

Kwanza MOAT wana mamlaka gani katika Taifa letu zaidi ya kutumika kisiasa - nani hakushuhudia maigizo yao yaliyo kuwa na lengo la kujaribu kumshinikiza JPJM amfukuze kazi Makonda wa watu, ukijaribu kutafakari hoja walizo kuwa wanatoa zote zilikuwa zinaonekana wazi wazi zimechongwa tu, wakati mwingine sisi Watanzania tunakuwa na tabia za ajabu sana.
Mfanyabiashara na madeni ni jambo la kawaida kama ndiyo hivyo si awalipe wanaomdai .Yaani madeni ni jambo la kawaida basi yeye atakuwa na roho ya plastic

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo snafanyiwa figisu,au yeye mwenyewe kashindwa biashara?
 
Back
Top Bottom