Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
hahahahaha do ze nidfuli miss neddy.
wewe jifanye nissan guy ukamate fursa
Last edited by a moderator:
hahahahaha do ze nidfuli miss neddy.
kumbe unataka mume tu...?njoo hapa...
Ni crash au crush?
Bodaboda naogopa bora nipande daladala
...kweri tunekivona mwaka uu!!Mhh mach ndio mpango mzima@cc mani
Asantee na hii ni kama ile ya kwanza
Mie sina gari miss neddy.
hahahahahaha basi umepoteza fursa maana bila gari kasinde hatakuelewa tena iwe nissan
Dah! Imekula kwangu. Wewe wahitaji nini ili nkupate?
Mjini ukiwa na gari ni rahisi sana kuoa/kuolewa.
Ni crash au crush?
hahahaha mimi tenaaaa