Nimekubamba sijakubamba
Mjini ukiwa na gari ni rahisi sana kuoa/kuolewa.
ni kweli kuna jamaa ana gari la hivo anaishi tabata kimanga, anapaki hilo gali lake kwenye bar inaitwa abc. nitakusaidi kumfikishia ujumbe huu. nitachukua namba yake ya simu then nitakupm.Halafu nilitaka kusema hili mara zote napata mgongano huo hata wanja sijapaka, yaani sijapaka poda wala lips shine wala make up ya aina yoyote. Nilikuwa naturali ila jamaa akaanza na mambo!! Na kama yako ni duet haukuwa wewe tha car was nissan na nyuma ya gari siti ya nyuma alikuwa ameweka tenga la plastiki kama la kuwekea pakti za maziwa au mikate. Sorry braza it wasnt u!!
hamna kitu yaan ukiwa na gari watu wanaogopa kukupiga saund wanajua wewe matawi
Hahaha. Udhaifu wenu upo hapo tu. Jawilat nina biashara na wewe.