Another crash...Kasindeeee and Kiki?!

Another crash...Kasindeeee and Kiki?!

Ile ndege ya malaysia iliyobeba watu 239..wasio na hatia wakapotea.Bora ingewabeba wajumbe(wabunge) wa katiba ikapotea nao kuliko vitu wanavyofanya Bungeni.
hahahahah dah elli umetisha jaman!..
 
Hamna crush wala crash dadangu Kasinde, kuna kitu kimejengwa akilini tu... siwezi kuisemea nafsi yako ila loneliness is a b***ch, you terribly need a companion... ukimpata hao wa njiani zitakuwa "hadisi" tu.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: amu
Kasinde, n kiki kyakyi se ndao!!!

Toka unitose na ile crush ya Toyo.. sina ham mwenzio.
 
Last edited by a moderator:
halafu kasinde, kwanini crash zako zoote ni za uswazi?? lols!

hebu siku moja chepuka hadi road za baharini baharini huku na ubalozi wa US uone kama utapata crush!

kuna watu wako bize mjini humu hadi huruma...!

We nawe zote ngapi na ziko mbili tuu? Halafu uswahilini inaanzia wapi inaishia wapi? Crush ya kwanza ilikuwa posta town city along maktaba road ya pili mataa ya buguruni to mandela road sasa huko baharini ndo kuna crush au hakuna?
Hao watu walio busy kihivo ndo wanakufaka na presha na sukari khaa!! Mie mtu wa hivo hata simtaki hata muda wa kukushika kiuno hawezi pata akuu shurti mtoto wa kike kupetiwa petiwa
 
Kasinde, n kiki kyakyi se ndao!!!

Toka unitose na ile crush ya Toyo.. sina ham mwenzio.

Hahahaaa sijakutosa mangi, mizunguko ya town na mvua hizi imekuwa tight, upo? Halafu bora nami nihamie kwenye toyo hizi crash ziishe maana naona zinaongezeka tuu na kunichanganya kichwa.
Usiishiwe ham bana...pls
 
Last edited by a moderator:
Hamna crush wala crash dadangu Kasinde, kuna kitu kimejengwa akilini tu... siwezi kuisemea nafsi yako ila loneliness is a b***ch, you terribly need a companion... ukimpata hao wa njiani zitakuwa "hadisi" tu.
You might be right though I dont think so coz nilishaamuaga kuwa single for my own reasons sasa hz crash zanchanganya why zije kwa kufuatana na zinaonekana kuwa na nguvu japo napigana nazo nibaki kwenye set yangu ya u single....
 
Last edited by a moderator:
Anza kupanda daladala! Huko lazima uopoe

Naanza nazo j3, ila daladala nayoina rahazake watu wanavogombania siti halafu unakuta ni watu wazima majasho yanawatoka na vituko vingine vingi vya daladala, kisha kukiwa na folenihuwa nasinzia hadi mwishowa kituo maana huwa bageuka nayo ili nipate siti looh, dometimesa daladala raha sana
 
Mjini ukiwa na gari ni rahisi sana kuoa/kuolewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom