Another crash...Kasindeeee and Kiki?!

Another crash...Kasindeeee and Kiki?!

Ndivyo ulivyoumbwa bibie! Strangers attract you more than people you are familiar with. It is a known psychological trait.
 
Habari za mijengo yenu wapendwa, leo tena imejirudia crash kama ile ya kipindi kile sasa sjui mie ni wa crash tuu. Na kama wakati ule sijapata nafasi ya kuchukua namba ya simu ila tulipigiana honi tuka smile.
Mara hii nilikuwa natoka airport kufatilia mzigo flani nikasema wacha nipite sokoni buguruni nichukue matunda ya kutengeneza smoothie za wiki nzima. Sasa narudi home kupitia mandela road nikiwa kwenye mataa ya buguruni ikaja nissan march T....CSL ilikuwa ya rangi ya orange. Tumetazamana weeh mwisho tuliporuhusiwa tukiwa mandela road ndo tukapigiana honi, this time nilikuwa kwenye grand noah V6, sasa mie nikabaki nyuma nilikuwa naenda sped 40 yeyeakatangulia akaniacha ila kufika tabata kubwa nikaona anakata kuelekea tabata basi ndo ikaishia hapo.
Nimejiuliza tuu, nitapata mume kupitia crash za barabarani hivi maana hii mara ya pili sasa. Halafu huyunaeni m cutee, yaani hand some kweli mmmhhh Kasinde mie nini kinanitokea...???
Ntarudi kwenye bajaji maana naona hizi crash.... sjui mwisho wake labda ndo husband anakuja kwa njia hiyo.... let me see mwisho wake utakuweje....!!!!
Usiku mwema nyote!!

Huo ndo ulimbukeni aisee sea huo handsome wake au hyo Nissan inakusaidia nn?
Priotize UA need well
U have a car t means una 'kauwezo" deal mbili Tatu mini hapa unaweza
Sa gari inakuvhanganya nn?
2 he is handsome probably supper handsome as the previously.one so what?huo handsome unakusaidia nn?
Wenzko wangap wamemuona?
Huo ndo unakufanya unions malkia au unakuridhisha in bed?
Au ndo utaleta ugali nyumbani?
au mwenzetu huo handsome wake ndo utakufanya ujiskie malkia?
Am not mean but u just a girl not a woman enough halaf mwisho wasiku mkijuta ana amdem mia au he cheats mnakuja juanIsha another thread like "all men are dogs" ***** ntakujibu hata babako
 
mh kama unatafuta mume basi kwa stail hiyo utampata ila ongeza juhud upate more crash unazosema
 
Nichedi, z'a hako?...lol
Ninekuzanga kim'pare rumburia.

Chedi, ila mmmhh simanyi chathuu nakithikia tuu heheheeee, usiendelee zaidi bana mie naishia hapo nilikaa sana na wapare nakisikia ila kuzungumza ni maneno mawili matatu, napenda sana kusikia wapare wakiongea chathuu.
Haya nitafsirie hapo ndo umemaanisha nn hiyo sentensi ya pili
 
Lets finish it up once and for all...

Tatizo ukishatokea huwa naskia aibu hadi miguu inagongana....... sasa kuongea ntaweza kweli, ntaishia kung'ata kucha tuu na kukimbia halafu naogopa ila sijui naogopa nini.....
 
Huo ndo ulimbukeni aisee sea huo handsome wake au hyo Nissan inakusaidia nn?
Priotize UA need well
U have a car t means una 'kauwezo" deal mbili Tatu mini hapa unaweza
Sa gari inakuvhanganya nn?
2 he is handsome probably supper handsome as the previously.one so what?huo handsome unakusaidia nn?
Wenzko wangap wamemuona?
Huo ndo unakufanya unions malkia au unakuridhisha in bed?
Au ndo utaleta ugali nyumbani?
au mwenzetu huo handsome wake ndo utakufanya ujiskie malkia?
Am not mean but u just a girl not a woman enough halaf mwisho wasiku mkijuta ana amdem mia au he cheats mnakuja juanIsha another thread like "all men are dogs" ***** ntakujibu hata babako

Mmmhhh what I know is am in a crash hayo mengine english tuu, pia uzuri wa kitu kukitizama.... wapata rahaa moyoni
 
Ndivyo ulivyoumbwa bibie! Strangers attract you more than people you are familiar with. It is a known psychological trait.

Daaah mbona shuhuli kamanihivo bora niendelee kuwa single stranger sometimes wabaya....
 
Tatizo ukishatokea huwa naskia aibu hadi miguu inagongana....... sasa kuongea ntaweza kweli, ntaishia kung'ata kucha tuu na kukimbia halafu naogopa ila sijui naogopa nini.....

Kwa muktadha huu huitaji kuongea Kasinde...I will do the talking...ww u juts follow instructions....
 
Last edited by a moderator:
Mmmhhh what I know is am in a crash hayo mengine english tuu, pia uzuri wa kitu kukitizama.... wapata rahaa moyoni

Hongera
Kesho UK IJA na kauli men are dogs ntakupa majjbu mazuri sana
 
Chedi, ila mmmhh simanyi chathuu nakithikia tuu heheheeee, usiendelee zaidi bana mie naishia hapo nilikaa sana na wapare nakisikia ila kuzungumza ni maneno mawili matatu, napenda sana kusikia wapare wakiongea chathuu.
Haya nitafsirie hapo ndo umemaanisha nn hiyo sentensi ya pili

lol, siwezi kukutafsiria aisee...
manake mmmmmh!!
 
Nadhani umeyapenda magari yao.Unayaelezea kwa undani magari(aina,rangi na vilivyomo) kuliko hata watu wenyewe.:redface:
 
Usichanganyikiwe hapo binafsi yako huwezi ndo mana ukosakujiamini, kama unayomaamuzi sahihi mwombe Mungu kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom