Another crash...Kasindeeee and Kiki?!

Another crash...Kasindeeee and Kiki?!

Njoooo kwangu aiseee natafta mke kumbe upooo

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums

Mie sitaki kuolewa ni hizi crash tuu zinanichangaanya
 
I love the way a crush feels. Like the heartbeat increases.....like butterflies... I miss that.
 
Ukiwa wangu ntakufurahisha zaid ya hako kafuraha kako,nangoja hyo PM yako maana na mvua hii ya hapa mjini stokuangusha kama Moyes afanyavyo kwa "mashetani wekundu" ama kukukatisha matumain km Wenger pale Emarate!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

Thanks for the invitation
 
Mtoto wa kike funguka, hakuna muda mbaya wa kufanya uamuzi mzuri, sasa siku nyingine ukionana naye barabarani mblock hapo hapo kisha shuka kwenye gari mfuate mpige jicho moja la kike atakuelewa tu...traffic wakikuletea za kuleta waambie wakuandikie notification, elfu thelathini ni kitu gani kwa mtu unayempenda bhanaaaaa!


Hii hatua lazima niichukue msimu wa tatu ukija
 
Ile ndege ya malaysia iliyobeba watu 239..wasio na hatia wakapotea.Bora ingewabeba wajumbe(wabunge) wa katiba ikapotea nao kuliko vitu wanavyofanya Bungeni.

Hahahaha mkuu umenichekesha sana.
 
Me mbona nipo sijaoa isee hatuja crush mimi na wewe.
 
Nashukuru kuona siku hizi pm za mitongozo zimepungua kwa watoto wa kike, mpaka wanakuwa wabunifu wakuzisaka fursa kwa style ya aina yake..

Maisha ubunifu unadhani ukikaa kimya mabachelor tupo wengi humu bilakuwepo kwa matangazo ya aina hii hatuwezi kujua nani yuko single..
 
Nilishajiamulia kuwa single for the rest of my life bila hata kuwa na mtoto ila yule kijana wa kwanza wa nissan alinifikirisha vingine nikasahau sass huyu tena ameibuka hata nazidi kuchanganyikiwa....
bado hujaamua kuwa single.
 
Nashukuru kuona siku hizi pm za mitongozo zimepungua kwa watoto wa kike, mpaka wanakuwa wabunifu wakuzisaka fursa kwa style ya aina yake..

Maisha ubunifu unadhani ukikaa kimya mabachelor tupo wengi humu bilakuwepo kwa matangazo ya aina hii hatuwezi kujua nani yuko single..

Acha Kuwa Negative Wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom