kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,506
- 18,872
ndio ajipange.....Hilo nalo neno? Ila ataweza uke wenza lol?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
ndio ajipange.....Hilo nalo neno? Ila ataweza uke wenza lol?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Yesu wangu!!!! Daaahhhh!!! Sawa bwana, hewala we si ndo bosi....
Kasinde,kama umeumbwa kuvutiwa na wanaume usiowafahamu, tena kwa kuwaona passport size tu, uwezekano wa kolewa na total stranger ni mkubwa sana.Ikitokea hivyo, itabidi utumie muda mrefu sana kumfahamu huyo mtu kwa undani.Itakuwa hatari kwako kama kwa mfano utamfahamu mwezi September halafu mnafunga ndoa November!Daaah mbona shuhuli kamanihivo bora niendelee kuwa single stranger sometimes wabaya....
Daah usemayo ni kweli ila.... wacha nione inakuwejeKasinde,kama umeumbwa kuvutiwa na wanaume usiowafahamu, tena kwa kuwaona passport size tu, uwezekano wa kolewa na total stranger ni mkubwa sana.Ikitokea hivyo, itabidi utumie muda mrefu sana kumfahamu huyo mtu kwa undani.Itakuwa hatari kwako kama kwa mfano utamfahamu mwezi September halafu mnafunga ndoa November!
Ile ndege ya malaysia iliyobeba watu 239..wasio na hatia wakapotea.Bora ingewabeba wajumbe(wabunge) wa katiba ikapotea nao kuliko vitu wanavyofanya Bungeni.
watu8 ndo nani huyo?
Jamaa mmoja hivi ana 8 pack mweupe kidogo some how maji ya kunde yaliyokoa ila si mweupe sana, mrefu wa wastani, ni daktari, anakaa.... anafanya kazi.... town city kwenye jengo moja refu sana. akiwa kitaa hupendelea kuvaa sun glasses za ki spy... ukikutana na kijana wa namna hiyo basi ujue umekutana na watu8 wasifu mwingine atakuja kuuongezea mwenyewe looh