Naona mwaka huu mkorogo utadunda
Kwani anatumia mkorogo?
Naona mwaka huu mkorogo utadunda
- Asisitiza damu kutomwagika 2015
- Awwaonya wanaotoa lugha chafu dhidi ya JK
Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango amewashukia baadhi ya viongozi wa Chadema wanaojipitisha jimboni kwake na kutoa kauli za kuhatarisha amani iwapo hawatashinda katika uchaguzi wa Mwaka 2015.
Source: Gazeti la Uhuru: Mei 28, 2012.
- Wenzako wanajadili siasa, wewe umetumwa na agenda tofauti kabisa na maneno yako yanakushitaki, sikiliza kama haya maneno ni kweli basi waliokutuma wasingetakiwa kuishi kwa wasi wasi! ha! ha! ha!, kama haya yote ni kweli then kelele za nini, aliyekwambia ninatafuta u-DC ni nani huyo?
- Mmezoea uchawi sasa mmekutana na watu wasioamini uchawi mnahangaika, ha! ha! ha!, wewe mwenyewe hapo unasaidiwa vipi huna kwenu? ha! ha! ha!, sasa wanakupa wali wa bure ndio wanakutuma kuja kutukana watu humu, halafu akili yako ndogo sana unasema maneno yanayotokushitaki mwenyewe kwamba wamekutuma!
- By THE WAY, MKITOKA KWA WACHAWI WENU MSIKOSE KUPITIA KULE Super Malecela Blog kumekucha sana, moto wa kuotea mbaali ndio mtajibeba na nilikotokea! ha! ha! ha! ha!, kumbe sifa zangu zinawatesa, hapana sizitafuti zinakuja, nimefungua blog kabla hata haijaisha tayari watu 4200 kwa siku, mimi nafanya vitu vyangu sifa zinakuja!! ha! ha! ha! ha! ila kuimbilia kwenye mablog sasa mmefika mbali itawala wenyewe! ha! ha! ha! karibuni sana ila msikimbie!
William John Samwel Malecela. Le Big Shooow!!
Le Bahari na Mipasho wapi na wapi?Mi nilifikiri Mzee Yusuph kumbe wewe?Kazi kweli kweli. Hapa Wanamsema Kilango mbona unajitetea wewe?Wakusaidia asije kuharibu.....Kuwa uyaone na Ujafa ujaumbika.
Huyu mama kiboko yake mama sophia simba ndiye anayempa maneno yanayomfaa.
Wiliam!! Kwenye bandiko lako hapo juu sikuona pointi yoyote zaidi ya MIPASHO NA KUJINADI KUWA WEWE NI MCHAWI NA UNAUJUA VYEMA UCHAWI!!
Willy!! Mtu ukishafikia hatua ya kugombea nyadhifa ktk jamii, unatakiwa kuongeza ujazo wa BUSARA ili uwe kioo cha jamii!! Mambo mengine unapuuzia hata kama yanapain, ama unajibu kibusara zaidi ili kujijengea heshima!! Tumia zaidi kichwa Willy!!
Hapa napata tabu kidogo kuelewa ilikuwajekuwaje ukapata nafasi ya kugombea EALA japo ulishindwa!!!
nilichogundua ni kwamba uwezo wa kufikiri wa huyu kijana WILLIUM MALECELA ni mdogo sana na punde atakaposhtuka kuwa anayoongea na kuyafanya sasa ni hasara kwake atakua keshapoteza heshima mbele ya jamii nzima.Ndugu yangu huyu Willi ni nani hadi aje kumtetea huyu mama hapa..willi mwenyewe hata upareni kwenyewe hajawahi kugusa
Le mutuz na mama yake wa kambo wanajipanga kuchukua nchi 2015
Le mutuz na mama yake wa kambo wanajipanga kuchukua nchi 2015
nilichogundua ni kwamba uwezo wa kufikiri wa huyu kijana WILLIUM MALECELA ni mdogo sana na punde atakaposhtuka kuwa anayoongea na kuyafanya sasa ni hasara kwake atakua keshapoteza heshima mbele ya jamii nzima.
- Asisitiza damu kutomwagika 2015
- Awwaonya wanaotoa lugha chafu dhidi ya JK
Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango amewashukia baadhi ya viongozi wa Chadema wanaojipitisha jimboni kwake na kutoa kauli za kuhatarisha amani iwapo hawatashinda katika uchaguzi wa Mwaka 2015.
Source: Gazeti la Uhuru: Mei 28, 2012.
- Hillarious!!! ha! ha! ha! ha!
William.
Chadema ni debe tupu. Tatizo watu walioshindwa huwa wanamaneno mengi. Kujisifia na kujifariji kuwa watashinda. Huwezi kuingizwa ikulu na wachaga tu na watu wa kuazima. Lazima nchi yote ikukubali. Na hakuna mtu wa kumkubali slaa. Huyu ni padiri mzinifu. Kwa sharia ya kiislamu huyu bwana ilibidi apigwe mawe mpaka afe. Hasa kwa kuzini na mke wa mtu yule mushumbusi. Sasa anajifanya yeye safi anaweza kuwa rais kwa gharama ya kuchochea vurugu. Huu usavimbi anauweza kwa sababu hana huruma ya kifamilia.
Yaani ni mbumbumbu hata kuongoza houseboy hapo kwa mzee wako unapokaa huwezi- Hillarious!!! ha! ha! ha! ha!
William.
Macho haambiwi tazama. Chadema wanaghiribu wa tanzania kuwa jumamosi waliteka dar-es-salaam. Hahahaha ni kutuko kwa waliokuwepo na wanaoweza kutathmini number kwa kuangalia. Leo nimecheka kule mtwara wanasema chadema yateka mtwara. Huu uwanja kwa wanoufahamu unaingiza labda watu mia nne. Sasa mjinandanye halafu mkawaambie mabwana zenu wa conservative party kuwa mmechakachuliwa. Sijui kwa wanaume kuchakachuliwa manayake kama mnaifahamu
- Ha! ha! ha! ha! huwa sisikilizi maushauri ya kunitaka niwe muoga muoga kama fisi, sikuogopa bahari bro miaka sita baharini, nimevuka Bermuda Triangle mara 3, mahali ambapo mabaharia huacha kazi wakisikia meli itaenda kupita hapo!
- Ninachosema humu JF, au mahali popote pale ndicho ninachokiamini, AND THAT IS ME, TAKE IT OR LEAVE IT kwangu mwendo ni mdundo sana mpaka kelewekes, nimesema huu mjadala ni tooo lowa kwangu hauna tija, sio Chadema wala mafisadi wanaoweza kumshinda kwa kura Mbunge wa sasa wa Same East, ningeamini otherwise ungeniona kwenye huu mjadala in full kama kawaida yangu!
- SIKU NJEMA SANA L;EO NIPO HUKU MBEZI BEACH KIKAZI ZAIDI!
William.
Mkuu, ulipotokea kumefanyaje?..........ndio mtajibeba na nilikotokea...........
astaghafulilah kina joketi na kina sinta ndio wameshakuharibu unaongea maneno ya ajabu ajabu mara hii ...
- Asisitiza damu kutomwagika 2015
- Awwaonya wanaotoa lugha chafu dhidi ya JK
Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango amewashukia baadhi ya viongozi wa Chadema wanaojipitisha jimboni kwake na kutoa kauli za kuhatarisha amani iwapo hawatashinda katika uchaguzi wa Mwaka 2015.
Source: Gazeti la Uhuru: Mei 28, 2012.
ngoja tumshauri william wamchukue mama yao bwana akakae na mzee ....nguvu ya chadema hataiweza tena ...different level already,