- Wenzako wanajadili siasa, wewe umetumwa na agenda tofauti kabisa na maneno yako yanakushitaki, sikiliza kama haya maneno ni kweli basi waliokutuma wasingetakiwa kuishi kwa wasi wasi! ha! ha! ha!, kama haya yote ni kweli then kelele za nini, aliyekwambia ninatafuta u-DC ni nani huyo?
- Mmezoea uchawi sasa mmekutana na watu wasioamini uchawi mnahangaika, ha! ha! ha!, wewe mwenyewe hapo unasaidiwa vipi huna kwenu? ha! ha! ha!, sasa wanakupa wali wa bure ndio wanakutuma kuja kutukana watu humu, halafu akili yako ndogo sana unasema maneno yanayotokushitaki mwenyewe kwamba wamekutuma!
- By THE WAY, MKITOKA KWA WACHAWI WENU MSIKOSE KUPITIA KULE Super Malecela Blog kumekucha sana, moto wa kuotea mbaali ndio mtajibeba na nilikotokea! ha! ha! ha! ha!, kumbe sifa zangu zinawatesa, hapana sizitafuti zinakuja, nimefungua blog kabla hata haijaisha tayari watu 4200 kwa siku, mimi nafanya vitu vyangu sifa zinakuja!! ha! ha! ha! ha! ila kuimbilia kwenye mablog sasa mmefika mbali itawala wenyewe! ha! ha! ha! karibuni sana ila msikimbie!
William John Samwel Malecela. Le Big Shooow!!