Anne Kilango awavaa CHADEMA...

mama kaboyoka jipange vizuri tu hapo 2015...jimbo lako na unatakiwa usilale tu ..huyu mama maneno mengi hana lolote tena watu wameshashtukia trick zake hana lake tena pale jimboni...barabara ya kwenda milimani upereni mvua ikinyesha kwa sekunde moja tu basi magari hayapiti
 
294413_213355165398565_100001722487463_584981_471136629_n.jpg

maisha ya same ndio hayo hapo huku huyu mama akijivunia sijui kama anajitamgua nitaendelea kuwapa picha za jimbo lote la same
 
hujakosea hizo sifuri kweli mbona ni faranga nyingi hizo. au JPatel alikuwa anatega kwa kuamini Samweli angetwaa nchi hii?[/QUOTE]

Hapo kwnye bold lugha sahihi ya kuelezea alichokuwa anafanya JP ni kuwa alikuwa anawekeza akitegemea kuwa huyu J4 akiula basi atafanya ikulu kama sebuleni kwake.
 
Mkalibia kufa, haachi kutapatapa! Huyo ndo nipotezee let us wait. CDM inatisha hata mimi imenitisha sana especially Jmos Jagwani, nilikuwa live from Morogoro mpaka Jagwani. Wana sera jamaa zinazogusa kihisia maisha ya watu na kutishia matumbo joto aka Mafisadi aka HEPA,
 
Huyu mama haaminiki kabisa!!!!
Ana machungu dhidi ya mumewe kuhujumiwa na wana mtandao!
Wanaodhani mama huyu anasukumwa na uzalendo wamekosea!!!!
 
huyu mama anaweweseka ..mbunge gani huna facebook twitter wala ngugu zake ..huyu mama ni mjima mambo yake yote ni ya ki-local ..pesa ya kiwanda cha tangawizi kaila barabara mbovu jimbo lake halina barabara ya lami hata moja anashinda kwa mumewe mze3e malecela keshalisahau jimbo lake huyu anaweza hata asifike 2015 kwa jinsi watu walivyomchoka tayari

hospitali zinatotegemewa ni za katoliki

Mshauri aje agombee huku MICHEWENI
 
Mkalibia kufa, haachi kutapatapa! Huyo ndo nipotezee let us wait. CDM inatisha hata mimi imenitisha sana especially Jmos Jagwani, nilikuwa live from Morogoro mpaka Jagwani. Wana sera jamaa zinazogusa kihisia maisha ya watu na kutishia matumbo joto aka Mafisadi aka HEPA,

ndio maana huyu mama presh imempanda ghafla...sasa watu wakienda kuishi jimboni kwake si atakufa kabisa?
 
Chadema ni debe tupu. Tatizo watu walioshindwa huwa wanamaneno mengi. Kujisifia na kujifariji kuwa watashinda. Huwezi kuingizwa ikulu na wachaga tu na watu wa kuazima. Lazima nchi yote ikukubali. Na hakuna mtu wa kumkubali slaa. Huyu ni padiri mzinifu. Kwa sharia ya kiislamu huyu bwana ilibidi apigwe mawe mpaka afe. Hasa kwa kuzini na mke wa mtu yule mushumbusi. Sasa anajifanya yeye safi anaweza kuwa rais kwa gharama ya kuchochea vurugu. Huu usavimbi anauweza kwa sababu hana huruma ya kifamilia.
 
Macho haambiwi tazama. Chadema wanaghiribu wa tanzania kuwa jumamosi waliteka dar-es-salaam. Hahahaha ni kutuko kwa waliokuwepo na wanaoweza kutathmini number kwa kuangalia. Leo nimecheka kule mtwara wanasema chadema yateka mtwara. Huu uwanja kwa wanoufahamu unaingiza labda watu mia nne. Sasa mjinandanye halafu mkawaambie mabwana zenu wa conservative party kuwa mmechakachuliwa. Sijui kwa wanaume kuchakachuliwa manayake kama mnaifahamu
 
Mikutano ya chadema ni muhimu kunusuru hiki chama cha edwin mtei maana kinakwenda kuungana na tlp na nccr mageuzi. Juzi shibuda katufungua macho kuwa kimejaa ukabila na ubaguzi ambao sisi wa tanzania kamwe hatuwezi kupoteza muda na hawa jamaa wenye meno ya kukaanga. Kila kona ni mushi munishi ndesamburo, lyimo reginarld, kwayu kiwia kitila mkumbo
 
Wanachadema kubalini tu ukweli unauma. Siasa za majukwaani zinashusha heshima maana watu wanawachoka. Yule pumbua nasari hajathubutu tena kuongea maana akiongea anatoa chemicali za pumba hahahahhhh. Ikulu mtaisikia kwenye luninga.
 
Du CV za makamanda wa CHADEMA zinatia huruma. Masikini Goodbye Lema ni Form two. Master Sugu ni Failure, Manyika tuliwahi kudanganywa eti alipata division 1 form six kumbe ni formsix failure wa Tambaza. Ana degree ya sanamu ya masomo ya jioni ambayo hakuna anayekumbuka kama alimaliza. Mbowe huyo tunajua ni form four na alipunguzwa benki kuu kutokan na kutokidhi sifa. Kitila mkumbo ni mhadhiri feki maana GPA yake haikufika angalau 4. Slaa ni PAROKO failure. Sasa hili genge la magaidi ukiondoa Zito Kabwe safi, Shibuda safi na Mdee wengine hawafai hata kuwa viongozi wa Msikiti
 
Kingine kinatustua. Asilimia 60 ya wabunge wa CHADEMA kiasilia wametoka Kilimanjaro na Arusha. Hata yule mbunge wa mwanza bwana Kiwia na yule wa Arusha Goodby Lema nao ni wa kule kule.
 
Back
Top Bottom