Anne Kilango awavaa CHADEMA...

Anne Kilango awavaa CHADEMA...

sio mama yake wala nini huyu willie anaongeza idadi ya post zake tu hapa...hajawahi kwanza hata kukanyaga huku upareni hajui jinsi watu wanavyotaabika kwa sera mbovu za ccm hajui jinsi mama yake wa kambo anavyowadanganya wapare yeye anatetea tu kitulizo cha mshua wake

Hah hah hah hah hah hah hah

le Mutuz original
 
Wewe ni muongo kumzidi shetani, kwanza hata cv yako ulidanganya vitu vingi sana ikiwemo uliwahi kufanya kazi UN.... Aliyekua mkeo ndo anafanya huko bana na si wewe!!!! Usijidai mjuaji hapa tunakufahamu sana. Wewe jidai kuja front tukuanike

- UN nilifanya internship nikiwa College mwaka 2002, pole sana!

William.
 
Wewe ni muongo kumzidi shetani, kwanza hata cv yako ulidanganya vitu vingi sana ikiwemo uliwahi kufanya kazi UN.... Aliyekua mkeo ndo anafanya huko bana na si wewe!!!! Usijidai mjuaji hapa tunakufahamu sana. Wewe jidai kuja front tukuanike

- Uongo sio tabia yangu, ukiniona hapa ujue FACTS na TRUTH, hapo ni kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, nilikuwa ninafanya Internship, kupitia Ubalozi wa Dominican Republic! Ha! ha! ha! ha! hope nimekusaidia na kukkurupuka na kurukia treni kwa mbele!

- RESPECT MUCH!

William Le Mutuz!
 
Haya sasa Blai tueleze Pesa za kiwanda cha Tangawizi zilipotelea wapi?
Na je mbona bimdashu akiulizwa anakuwa Mbogo?

Aale chilomwaka...
 
- Uongo sio tabia yangu, ukiniona hapa ujue FACTS na TRUTH, hapo ni kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, nilikuwa ninafanya Internship, kupitia Ubalozi wa Dominican Republic! Ha! ha! ha! ha! hope nimekusaidia na kukkurupuka na kurukia treni kwa mbele!

- RESPECT MUCH!

William Le Mutuz!

Williama J. Malecela yaonekana umelemewa Kamanda!

Pole sana Kamanda wangu!!
 
Huyu mama anaenda kwenye misiba kule upareni na kujikusanya na wamama wa kule na kuanza kulia nao ...huu ni ujinga ataliaa wee hapo na ujanja wake ni kupata huruma zao ila wameshamshtukia ...na ndio maana anajishtukia sasa hivi ..abaki zake huko huko mtera
hatuongelei mate picha zipo

View attachment 54880

Mkuu labda ni majonzi ya kweli kweli!
 
We ulitaka kilango aseme nini zaidi ya kuonyesha uoga. M4C ndo itakayompa vidonda vya tumbo asubiri.
 
mama anajivunia kiwanda ch tangawizi, ningchojiuliza je wakazi wote wa huko same ni wakulima wa tangawizi? Vip barabara, umeme, maji nk.
 
Willam Pamoja na kuvuka kwako Bermuda Triangle mara 3 sisi tunakuona Kama mfagizi wa kwenye meli tuu
 
Back
Top Bottom