Anne Kilango awavaa CHADEMA...

Anne Kilango awavaa CHADEMA...

- Wenzako wanajadili siasa, wewe umetumwa na agenda tofauti kabisa na maneno yako yanakushitaki, sikiliza kama haya maneno ni kweli basi waliokutuma wasingetakiwa kuishi kwa wasi wasi! ha! ha! ha!, kama haya yote ni kweli then kelele za nini, aliyekwambia ninatafuta u-DC ni nani huyo?

- Mmezoea uchawi sasa mmekutana na watu wasioamini uchawi mnahangaika, ha! ha! ha!, wewe mwenyewe hapo unasaidiwa vipi huna kwenu? ha! ha! ha!, sasa wanakupa wali wa bure ndio wanakutuma kuja kutukana watu humu, halafu akili yako ndogo sana unasema maneno yanayotokushitaki mwenyewe kwamba wamekutuma!

- By THE WAY, MKITOKA KWA WACHAWI WENU MSIKOSE KUPITIA KULE Super Malecela Blog kumekucha sana, moto wa kuotea mbaali ndio mtajibeba na nilikotokea! ha! ha! ha! ha!, kumbe sifa zangu zinawatesa, hapana sizitafuti zinakuja, nimefungua blog kabla hata haijaisha tayari watu 4200 kwa siku, mimi nafanya vitu vyangu sifa zinakuja!! ha! ha! ha! ha! ila kuimbilia kwenye mablog sasa mmefika mbali itawala wenyewe! ha! ha! ha! karibuni sana ila msikimbie!

William John Samwel Malecela. Le Big Shooow!!

Hii ndo taswira ya mtu ambae angeiwakilisha Tanzania bunge la africa mashariki. Nawashukuru sana wabunge kumpiga chini huyu baharia. Tungeaibika kwa kauli za aina hii. Angeibuka Lusinde mwingine ndani ya bunge la east afrika! Full mipasho!unafaa sana kuwa mc wa kichen pati
 
Hizi hasira zilimkosesa Sarkov urais kule Ufaransa!!
Kumbuka, Dont argue with a "fool"......

- Mmezoea uchawi sasa mmekutana na watu wasioamini uchawi mnahangaika, ha! ha! ha!, wewe mwenyewe hapo unasaidiwa vipi huna kwenu? ha! ha! ha!, sasa wanakupa wali wa bure ndio wanakutuma kuja kutukana watu humu, halafu akili yako ndogo sana unasema maneno yanayotokushitaki mwenyewe kwamba wamekutuma!

- By THE WAY, MKITOKA KWA WACHAWI WENU MSIKOSE KUPITIA KULE Super Malecela Blog kumekucha sana, moto wa kuotea mbaali ndio mtajibeba na nilikotokea! ha! ha! ha! ha!, kumbe sifa zangu zinawatesa, hapana sizitafuti zinakuja, nimefungua blog kabla hata haijaisha tayari watu 4200 kwa siku, mimi nafanya vitu vyangu sifa zinakuja!! ha! ha! ha! ha! ila kuimbilia kwenye mablog sasa mmefika mbali itawala wenyewe! ha! ha! ha! karibuni sana ila msikimbie!

William John Samwel Malecela. Le Big Shooow!!
Hii hasira ilimkosesha Sarkov urais kule Ufaransa!! Kumbuka, dont argue with a "fool".......
 
Wilium Maliccela kweli nimejiridhisha hufai kupewa cheo chochotekatika jamhuri hii labda Urudi kule marekani ukaendelee na ile kazi yako nzuri ya kuzoa takataka walau ilikuwa inakulipa sana tofauti na hapo utachafuka sana
 
Hii ndo taswira ya mtu ambae angeiwakilisha Tanzania bunge la africa mashariki. Nawashukuru sana wabunge kumpiga chini huyu baharia. Tungeaibika kwa kauli za aina hii. Angeibuka Lusinde mwingine ndani ya bunge la east afrika! Full mipasho!unafaa sana kuwa mc wa kichen pati
Nimeipenda sana hii kweli watanzani inatakiwa tuwe makini na viongozi wahaina hii kama Wiliam na Lusinde Nape na wengine wengi ndani ya chama cha magamba kwani hatari yake nikama hii saratani Shibuda kweli Wiliam unafaa kuwa mc wa kicheni pati
 
  • Asisitiza damu kutomwagika 2015

  • Awwaonya wanaotoa lugha chafu dhidi ya JK

Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango amewashukia baadhi ya viongozi wa Chadema wanaojipitisha jimboni kwake na kutoa kauli za kuhatarisha amani iwapo hawatashinda katika uchaguzi wa Mwaka 2015.

Source: Gazeti la Uhuru: Mei 28, 2012.

Siasa za kuhubiri umwagaji damu hazitakubalika kwa mtanzania aliyezoea amani.
 
Nimeipenda sana hii kweli watanzani inatakiwa tuwe makini na viongozi wahaina hii kama Wiliam na Lusinde Nape na wengine wengi ndani ya chama cha magamba kwani hatari yake nikama hii saratani Shibuda kweli Wiliam unafaa kuwa mc wa kicheni pati
Kiswahili ni lugha ya Taifa, hata cha kuongea unataka ufundishwe darasani?
 
Hivi zile Tsh. 200,000,000/- alizotoa Jeethu Patel kwenye arusi ya Anne Kilango na John Samwel Malecela zilikuwa mchango au mkopo? Ana mengi ya kutueleza huyu mama. Najua anasumbuliwa na kihoro cha ndoto yake ya kuwa first lady kuyeyuka kama barafu juani.

Mkuu Wiliiamu anaweza kujibu make hata yeye anajua vizuri hii kitu
 
  • Asisitiza damu kutomwagika 2015

  • Awwaonya wanaotoa lugha chafu dhidi ya JK

Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango amewashukia baadhi ya viongozi wa Chadema wanaojipitisha jimboni kwake na kutoa kauli za kuhatarisha amani iwapo hawatashinda katika uchaguzi wa Mwaka 2015.

Source: Gazeti la Uhuru: Mei 28, 2012.

Hiyo source ys habari tunaifahamu sana. Petroli haiwezi kuzungumzia mambo ya moto.
 
Huyu mbunge hastahili hata kuwa muoshaji wa mbwa wangu, sembuse ubunge.
.
LONELINESS IS THE MOST TERRIBLE POVERTY".
 
mnafiki mkubwa huyu mama, hebu kwanza atuonyeshe sahihi yake kwenye list ya kabwe zito, kama haipo na anyamaze milele, kujikomba kwa JK sasa akitolewa kauli za matusi kwani JK ni hati miliki yake? anatia aibu amedunda kweli kweli, UWT kakutana na mkali sofia kapigwa dafrau maana kazoea majungu, cha ajabu hata kwenye nyumba ya mzee baada ya kugeuka kero kero na kujaribu kwa nguvu kufunja uhusiano mzuri wa mzee na familia yake kagonga mwamba sasa,alishapelekwa polisi na binti mkubwa wa mzee kwa ruhusa ya mzee, alishajaribu kutaka kuchakachua nyumba ya mzee na marehemu mmewe ya pale sea view, na kunahabari kwamba hata viwanja vya marehemu mama Nezerina Malecela vya kawe alishapitisha mguu huko. Huku upareni tupeni habari za kiwanda cha tangawizi, huyu mwanasiasa changudoa apeleke ushenzi wake huko huko jimboni kwake kama anaweza, toeni haya mamluki kujikomba kote huku hata uDC hajapewa kazi kushinda na william kupanga mikakat ya kuimaliza first family ya mzee, hamuwezi ng'o watanzania tuna

Wamjua vema, hv huyu Wiliam kaibukia wapi? no wonder ni mpenda sifa sana. Tulimfahamu Mkwawi na Senyangwa RIP)

Tunakosea tukisema kuwa ilikuwa ni lazima kila Mbunge aweke saini kwenye hoja ya ZITTO. Huo utakuwa ni mtazamo hasi kwani kila mtu alitafakari na kuona lipi sahihi. Tunasahau pia kuwa ile hoja haikuwa ya ZITTO bali ya TINDU LISSU ZITTO aliidandia tu kwa ajili ya kujijenga na kurudisha imani kwa viongozi wake wa CHADEMA, imani ambayo ilianza kuwatoka kutokana na kutangaza kwake nia ya kuwania urais 2015. Aidha Anne Kilango anao wajibu wa kutetea JK kutukanwa hajakosea, na sidhani kama ni busara kwa kiongozi wa nchi tena aliywekwa madarakani kwa mujibu wa Katiba ya nchi kutukanwa hadharani. Tutakuwa wa ajabu sana endapo hatutaheshimu mamlaka ambazo hata vitabu vitakatifu vinatuasa kuziheshimu. Maendeleo tunayolilia pengine hatuyapati kutokana na laana hizi ambazo zinachochewa na wanasiasa wenye uchu wa madaraka, ubinfsi na chuki binafsi.
 
Mama mkwe wangu ana mambo kweli. Ni bora akawapelekea Ikumbo na naki hizo hela tokwa kwa Patel kuliko kuwaacha wanaye wauze vitumbua minnessota. Kale kafupi Ikumbo naye nasikia anataka kuingia siasa baada ya mjamaica wake kafumaniwa akipewa tigo. Siye yetu macho tusubiri tuone. sidhani huyu mama atathubutu kugombe atena kwa maana kashfa za binti zake na zake mwenyewe zitamuandama sana

Aisee kwa kweli sura ya mtu inaweza kumuelezea hata tabia yake. Sishangai maneno uliyasema hapa kwani sura yako yenyewe ni kielelezo tosha. Hivi umekosa la kusema mpaka unaandika huo utumbo? Baadaye ukirudi nyumbani unategemea uambiwe pole kwa kazi? tehe teh teh teh.
 
22.JPG
 
huyu mama anaweweseka ..mbunge gani huna facebook twitter wala ngugu zake ..huyu mama ni mjima mambo yake yote ni ya ki-local ..pesa ya kiwanda cha tangawizi kaila barabara mbovu jimbo lake halina barabara ya lami hata moja anashinda kwa mumewe mze3e malecela keshalisahau jimbo lake huyu anaweza hata asifike 2015 kwa jinsi watu walivyomchoka tayari

hospitali zinatotegemewa ni za katoliki

Nadhan Huyu Mama anaota!! Jimbo linalomfaa ni Jimbo analomiliki Lusinde!! "Kadadadadeki!!" Wapare wameamka sasa Binti ameshaozwa na ni muhimu aende Zake kwa Mumewe na sio Kuendelea Kuwa Mtawala!!
 
Mutuz,

Kwa muendelezo wa pumba hizi hutakaa uwe kiongozi nchi hii!

Huna uvumilivu Mkuu, na hata kama huna uvumilivu akili na haya nazo umeacha@ NYC!

Jirekebishe mkuu, Mtera wanakuhitaji!
 
Huyu mama ubongo wake umeathiriwa na madawa ya kutengeneza mkorogo anaotumia kujichubulia uso
 
- Wacha hizo mimi nipo mitandaoni hata kabla hajaingia popote, wacha hizo sitaki kugusa mjadala wenu kwa sababu kwangu ni irelelvant, last time mlisema haya haya akawashinda, kama kawaida mmeanza tena sio worthy ila kwa wasiojua, nilitaka tu kumjibu huyu mtu aliyetumwa hapo juu, lakini sina shida na huu mjadala huwa ninashikiri mijadala serious sio kama huu!

William.

soma post #14....kumbe famia yako inashiriki ukameroon?!!
 
hiyo blog anayodai kafungua ina nini kipya zaidi ya kupost mambo za mademu?? umri na vitu anavyovifanya ni tofauti!!
 
  • Asisitiza damu kutomwagika 2015

  • Awwaonya wanaotoa lugha chafu dhidi ya JK

Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango amewashukia baadhi ya viongozi wa Chadema wanaojipitisha jimboni kwake na kutoa kauli za kuhatarisha amani iwapo hawatashinda katika uchaguzi wa Mwaka 2015.

Source: Gazeti la Uhuru: Mei 28, 2012.

Aaaeee kichwa kinaumaaa!!!!!!
 
Hao watu wa mtere wote wana matusi. Lusinde aliacha historia kule Arusha Arumeru. Huyu naye walewale. Matusi ya baharini. Wewe unasema mtera wanamuhitaji. nani ampe hata huko mtera? zile cd za lusinde zimemwagwa mle na hawataki kusikia mtu anayeitwa CCM. sasa mtu kama anatukana hata humu jf unategemea ndo aje aongoze wana-mtera? jazba huwa hazijengi mkuu!! hata ulipokuwa unahojiwa bungeni dodoma ulikuwa na jazba. uongozi na jazba wapi na wapi? pia rekebisha na hiyo blog. ushauri wa bure.
 
Back
Top Bottom