Huna lolote la maana, unaonesha chuki zako tu binafsi, sasa kama limezinduliwa na kikwete ni kosa? ?hoja haina mashiko,Acha chuki kaza kamba tafuta vyako na wewe. Kama kapata kihalali kwanini iwe nongwa, kikubwa kama kwel haliendelezwi tutasikia, hayo mengine yote ni wivu na uzandikiAna shamba kubwa hekari 3000 Muleba ukishakunja barabara ya kuelekea Chato, shamba limezinduliwa na Kikwete. Ajabu halijaendelezwa zaidi ya kuzungushiwa fensi na kujenga vijumba vya wafanyakazi. Huu uroho na umimi utamuua huyu mama.